Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

Mkuu, hiyo ndiyo hali ya kuwa na matokeo vichwani. Mi' sijakisikia/kukiona hicho kipindi. Lakini kwa jinsi alivyosimulia huyu anaye fanana saaaanaaa.... na GENTA.. ki- uandishi, mihemko, unazi kwa S.S.C, naona Kitenge yupo sahihi kuuliza swali kama hilo. Na mara nyingi, hata huku mitaani, huwa tunaongea hivyo, kuwa timu ambayo haipewi nafasi, huwa mara nyingi inaibuka na ushindi.
Kwa hiyo huyu ndugu yetu, hataki kusikia suala la SIMBA kushindwa!
 
Mbona ww mwenyewe umekaa kishabiki tu , alafu unamuhoji mwenzako ,
 
Kesho jumamosi nitakuja kukumbusha kwamba Kitenge alikuwa anakijuwa anachokiongea kuliko hizi porojo zako.

Kesho si mbali, save this comment.
 
Unalchukia mtu asiyekujua

........ Endelea kuteseka
 
Huyu Mwamba kapotelea wapi Ndugu?
Yupo naona anakuja kivingine.

Ila mada zake ni zilezile...
1.Michezo na Watangazaji wake, eg.. Farhia wa ITV, Kienge wa EFM.
2.Siasa.. dubwana nguli la "Chavi Chavi Mkali"
3.Kutoa maonyo kwa vitisho.. utasikia Mh Jokate nakuonya acha kwenda kanisani mara moja.
4.Ulinzi na usalama.. Hahahahah huku mwamba ndio amebobeaa, sahivi kuna kauzi fulani katika ID zake 7
5.Uchawi, mbobevu sana wa nadharia za uchawi, siku kadhaa zilizopita alibwaga manyanga, alijinasibu humu.
6.Kupinga uwepo wa Mungu.. hapa ndipo palipo nifanya nimjue vizuri..

Gentamycine a.k.a ....
 
Nasikia sijui Form Four au Six alizungusha kwa Kupata Zero kabisa ikimaanisha kuwa hata Kichwani mwake ni Sifuri na ndiyo maana anashabikia pia Timu yenye Matahaira wengi iliyo mkabala na yanakopaki Mabasi ya Mwendokasi.
Bila Shaka wewe no tahira pia unashabikia timu ya kanjibai makoloko fc jezi zao zimejaa machata utadhani timi ya sudan

Hela zote za mikia au makolokolofc kashikilia kanjibai kanjanja

Soon your demise will be hear

Understand the word "timu ya wananchi" na respect it

Gaddem!!!
 
Kampime Mkojo kujua Uraia wake
 
Jamaa hata kama hajasomea uandishi wa habari kisha timiza ndoto zake kimaisha kwa kazi anahofanya ansafiri duniani kila kukicha,anatangaza biashara za makampuni makubwa kila kukicha,anaishi vizuri hawazii hela ya dagaa au utumbo wa kuku,jamaa usijipasue kichwa kumdadisi mtu aliyekupita maisha na wala hakufahamu kisa unazi ulionao kwa timu yako.
 
Shida nikwamba watanzania wengi tunapenda kusikia yale yanayotufurahisha tu, tofauti na hapo tunaona si sawa...
 
Nasikia sijui Form Four au Six alizungusha kwa Kupata Zero kabisa ikimaanisha kuwa hata Kichwani mwake ni Sifuri na ndiyo maana anashabikia pia Timu yenye Matahaira wengi iliyo mkabala na yanakopaki Mabasi ya Mwendokasi.
Mkuu maisha siyo kupa division 1 au kufika univasiti.......na kama hujui wenye vipato ni wale ambao hata madarasa hawajui na wanawaajiri haohao wenye division 1 na first class za univasiti........
 
Wengi wanadhani kusoma ndiyo kutoboa......
 
Maulid Kitenge ni mmoja wa waandishi wa habari watakaoathirika na Sheria mpya ya vyombo vya habari! 🙂
Hata alipokuwa Mwandishi,kibongo bongo Maulidi katoboa, labda kama unawivu tu wa maendeleo yake, maana kwa indozimenti alizonazo na matangazo, hawezi kulia njaa......hata akiwa MC tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…