Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

Maulid Kitenge ni mwanasheria yule katoka law school hana hata miaka 3
 
Wewe ni kijana wa hovyo hovyo na una maswali ya hovyo hovyo.
 
Ukishajua nambie na baba levo alisoma wapi uandishi wa habari
 
Alisoma chuo cha uandishi wa habari wakati huo kikiitwa tsj,ambacho baadae kiliunganishwa na chuo kikuu udsm

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Elimu na chuo kinachomsaidia ni kujua kiswahili cha kariakoo tu.Yeye na Mbwiga wote Sawa kichwani mtandao wa elimu is not reachable.walisoma chuo mkuu cha Kariakoo shimoni
 
Mie nataka fahamu matokeo tu hii mechi iliishaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…