Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kuna wamama wapo kwenye hizi taasisi kubwa za umma kazi zao ni kuwaunganisha vijana na umeme mkubwa wa taifa.InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
OMR ni wapi au ni nini?InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
Huyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifaOhoooo!!!
Tupu busy na corona ila ngoma inapukutisha kinomaDuh ila hiv yupo sana mtaani..watu wanameza dawa taratibu
Asante mwaya na wewe piaRIP Muhsin
Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.Huyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifa
Hivi huyo mama bado yupo au na yeye hiyo grid ya taifa imemuondoa?Huyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifa
Picha ya nini? Unajua maana ya privacy? Kutumia majina bandia isiwe chanzo cha kufanya vitu vinavyowaumiza wengine. Hivi utajisikiaje mtu akurupuke na kuweka picha yako hapa na kutoa sifa mbaya juu yako?Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.
Please iyo picha mkuu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.
mrangi King Kong III
Kule Wana huduma.zote hawafi Kwa nyimoniaNi kifo cha ghafla au ni pneumonia?
Labda Ofisi ya Ma wa Ra.OMR ni wapi au ni nini?
Kule Wana huduma.zote hawafi Kwa nyimonia
Mkuu sasa ndio nini tena. Mbona unaniaribia.Picha ya nini? Unajua maana ya privacy? Kutumia majina bandia isiwe chanzo cha kufanya vitu vinavyowaumiza wengine. Hivi utajisikiaje mtu akurupuke na kuweka picha yako hapa na kutoa sifa mbaya juu yako?
InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
Hapana hapana mkuu. Hapa ni sehemu ya wastaarabu. Tukifanya namna hiyo tunaumiza wengine. Kuna wenye roho laini wanaweza hata kujidhuru. Tujadili, tubishane, tuhitilafiane , tufurahi lakini tusiwe chanzo cha maangamizi ya wengine. Usipende kutendea wenzako usilotaka kutendewa wewe.Mkuu sasa ndio nini tena. Mbona unaniaribia.
Huo ujumbe wake umewasaidia wengine kuchunga mienendo yao.Hapana hapana mkuu. Hapa ni sehemu ya wastaarabu. Tukifanya namna hiyo tunaumiza wengine. Kuna wenye roho laini wanaweza hata kujidhuru. Tujadili, tubishane, tuhitilafiane , tufurahi lakini tusiwe chanzo cha maangamizi ya wengine. Usipende kutendea wenzako usilotaka kutendewa wewe.
pole kwao,mjini kujiingiza kwenye mahusiano bila kujuana status za kiafya watu wanaondoka wakiwa wadogoHuyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifa