TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

Spartacus boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,727
Reaction score
3,464
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam

Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.

Pia soma > Mtangazaji na DJ wa EA Radio, Baba T atimiza miaka 81

IMG_20211111_182945.jpg
Wasifu mfupi wa mtangazaji na DJ mkongwe Baba T aliyefariki hapo jana Jina kamili: Emsley Smith Kuzaliwa: Desemba 28 1936, Kingston Jamaica Alihamia Uingereza akiwa na miaka 27 na kufanya kazi kama Mhandisi na DJ, kisha Australia na baadaye Tanzania mwaka 1988. Alianzisha Makazi yake Tegeta Jijini Dar 1991
 
Back
Top Bottom