Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Nadhan kuna uzi humu unamuelezea. Ni mjamaica ila aliishi Bongo kutokana na ile Back to Africa movement so yeye alichagua Tanzania. Ni kwa mujibu wa huo uzi.Huyu ni mbongo mbona naonaga Kama ni mjamaika kutokana na ngeli yake
Si mbongo ni mjamaika aliye hamia tzHuyu ni mbongo mbona naonaga Kama ni mjamaika kutokana na ngeli yake
R.I.P Baba T, moja wa manguli walionifanya nipende Lovers Rock.Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa.
View attachment 2007115
Mwanamajumui wa Afrika.....
Inna lillahi wainna illayhi rrajiuun!
Barukh atah Adonai Eloheinu melekh ha'olam dayan ha'emet [emoji120][emoji120][emoji120]
Ni kweli mkuu. Ni mtanzania kutoka Jamaica.Nadhan kuna uzi humu unamuelezea. Ni mjamaica ila aliishi Bongo kutokana na ile Back to Africa movement so yeye alichagua Tanzania. Ni kwa mujibu wa huo uzi.
Naomba tafsiri ya maneno ya sentensi ya hapo mwishoni.Mwanamajumui wa Afrika.....
Inna lillahi wainna illayhi rrajiuun!
Barukh atah Adonai Eloheinu melekh ha'olam dayan ha'emet [emoji120][emoji120][emoji120]
Ni mjamaica aliyelowea bongoHuyu ni mbongo mbona naonaga Kama ni mjamaika kutokana na ngeli yake