DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni mkosa maadili
Sema unamfollow mtu wa hivyo ,Tena mzee wa makamo ujifunze nn kwake?
Na ushamba toka kaliua unamsumbua
Isitoshe siyo raia,ni muamiaji haramu
Sasa mtu alotoka kwenye malezi ya nchi ya machafuko atakuwa na maadili gani ya malezi?
 
Huyu jamaa ni MJINGA Kama Wajinga wengi inashangaza kuona Mamlaka husika zipo kimya na Maandiko yake wanayasoma
Nchi hii ni Waandishi wa Habari makanjanja sana Sijui bw.oscar anataka Jamii imuelewe vipi

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni yeye au ni kama yale ya Mugabe?
 
Mbona sijaona uzi zi hapo au mm ndo sijui kuzoma
 
Daah jana nasikiliza Redio ya Clouds michezo pana Tangazo la kuchepuka la Tigo harafu mwishoni wanamalizia kuchepuka ni kwa watu wazima tuu daah nilishangaa sana...
 
 
Kwenye fasihi kuna kitu kinaitwa tafsida, na hii imejikita tokea enzi za wazee wetu huwa kuna sanaa, maandiko, hadithi ambazo zinamaanaisha vitu mbalimbali lakini kwa kutumia tafsida

Ukiona umeelewa jua ubongo wako ndio umejenga picha hiyo, sasa hiyo ndio sanaa

Sidhani kama ni tatizo as long as imetumia lugha ya picha unless kama ipo dotect mpaka mtoto wa darasa la pili leo ukimpa anaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…