Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Aiseee na wamemrudisha kwa dau kubwa eeeh
 
Hata mimi naona hivyo, vipindi vingi havina maudhui, lakini wanasema ukiona hivyo ujuwe umri unakutupa mkono...
Kuna radio nyingi kwa mfano mimi napenda ea radio hizo nyingine ni bahati kuzisikiliza
 
Yule mtangazaji nguri wa Radio Clouds Fm na alikuwa presenter wa PB leo arudi rasmi na kuachana na EFM .
 
Reactions: Lee

Tuliambiwa walikuwa watovu wa nidhamu ndio maana hawakuongezwa mkataba
 
Sababu za kuondoka zipi?,..au ilikuwa mkataba WA muda mfupi na EFM?.
 
Kurudi kwake maana yake ni kwamba..... Ki[emoji193] na Fred hawaja jitosheleza...??
Nawaza tu
 
Mkuu umenena vema. Ni kweli utangazaji ni taaluma( professional) kama zilivyo taaluma nyingine. Ndio watangazaji wa zamani kama Tido Muhando, Betty Mkwasa, Julius Nyaisanga(R.I.P), Charlea Hilal, Shabani Kisu, Mahamud Mikidad, Sarah Dumba na wengineo wengi walikuwa wana ladha ya kipekee ukiwasikiliza tofauti na wasasa. Hawa wa sasa ni ma MC
 
huu mchezo unahitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
welcome back Pol bebe
 
PJ sio mtu wa mchezo mchezo.... Anajua sana kumuacha aende mazima ni pengo kubwa.
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…