strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Gerald haivi chungu kimoja na kipanya so ilo gerald harudi ina bidii masoud asepeBado Gerald Hando
Kweli sikiliza redio,ameingia huku akijifanya anasoma magazeti ndio utambulisho wakeSio kweli
Mkuu huwezi jua kati ya Clauz na PJ nani kampigia mwenzake magoti. Usicheze na njaa. Ni moja ya vitu mbaya sana.Aiseee na wamemrudisha kwa dau kubwa eeeh
Ndio yupi hapo.....Namjua Hamis Nandi (B12) nimesoma nae wengine siwajui
Lazima iwe ivyo nduguAiseee na wamemrudisha kwa dau kubwa eeeh
Unamaanisha Zamaradi? haha inawezekana Zamaradi akawa mkongwe kwenye tasnia ya utangazaji kuliko ata huyo PJ. Zamaradi tokea enzi za C2CDamu mpya ndio hiyo inayosababisha wafungiwe for three months...