Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Habari nzuri maana mimi redio nasikiliza sa moja hadi mbili kamili asubuhi tu, no more hadi kesho tena. Na mida hiyo nilimms paul james
 
Kipindi hicho gerald hando alikuwa anasoma magazeti ss atakubali kurud awe msima magazeti ??? Na PJ na Philp watafanya nn ss??
hao wengine waondolewe abakie masoud, gerald na pj labda na yule barbra hassan
 
Zembwela mtoe hapo,,,pamoja nakuwa na kipaji shule kaenda pia.
 
Ila hawakufanya vizuri kuwatoa kipindi kile sasa sijui hapo pb watamtoa nani wakimtoa Fredwa na Barbara watakua wamerudia yaleyale.




[emoji817]
 
 
Sina uhakika na hiyo taarifa yako nachokijua ni kwamba PJ anaumwa kwa siku mbili hajasikika hewani ila jana GH na Adela walikuwepo.

Ninachoamini ni Kiki ya Efm kuongeza wasikilizaji wa Joto la Asubuhi....PJ anaumwa jino shavu limevimba so kutangaza inampa ugumu akaamua kuchukua sick leave.
 

Bado huamini kuwa PJ karudi Clouds?
 
fredwaa ni mzuri ila wamtafutie kipindi, pale haendani na wenzake..
Fredwaa anapochangia hoja huwa natengeneza taswira...Wabongo tumealikwa Mkutano wa Mawaziri wa G8...mjadala mezani kuziboresha Ndege za Concorde ili zirudi hewani...katikati ya mjadala Mbongo wetu anatoa Picha kuubwa ya ile Helicopter yetu 'na sisi tumeanza kuunda Helicopter'

Wajumbe wanaangaliana kwa sekunde kadhaa, Mwenyekiti anaangalia saa yake 'nimeambiwa Chai tayari, Mjumbe kwa nini usitangulie alafu tutakukuta'....Mbongo wetu 'ok' anainuka na kuondoka....akishafunga mlango Wajumbe wote kwa ukali wanamgeukia Mwenyekiti na kumwambia 'THATS COLD'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…