Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,799
- 1,809
Habari nzuri maana mimi redio nasikiliza sa moja hadi mbili kamili asubuhi tu, no more hadi kesho tena. Na mida hiyo nilimms paul james
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tena ilififia baada ya dina kuondokaClouds
Leo Tena
XXL
Jahazi
Makele matupu tangu mwanzo mpaka mwisho,hakuna content yoyote
hao wengine waondolewe abakie masoud, gerald na pj labda na yule barbra hassanKipindi hicho gerald hando alikuwa anasoma magazeti ss atakubali kurud awe msima magazeti ??? Na PJ na Philp watafanya nn ss??
Zembwela mtoe hapo,,,pamoja nakuwa na kipaji shule kaenda pia.Niliwahi kumsikia Joseph Kusaga anasema yeye kwenye Ajira zake za Utangazaji huwa haangalii suala la Elimu anachokiangalia ni kipaji chako hata kama umeishi la Saba.
Naamini ndio ukweli wenyewe na wengi wameamua kufuata mtindo huo wa kuangalia vipaji zaidi na sio Elimu, ndio maana tunawasikia Wakina Mpoki, Zembwela, Gigy money japo sijui huyu waliangalia kigezo gani n.k
Wameona kwa wenzao wakenya na wao wanaangalia Kipaji zaidi kuliko elimu ndio maana Redio zao nyingi zimejaa wachekeshaji.
Ubaya wetu tumebaki kuwaangalia wale wale tu na hivyo tunakuwa kama tunawagombania badala ya kuibua hawa ambao wana elimu lakini pia wana kipaji ambao wamekosa watu wa kuwashika mkono.
Barbara lazima awepo sio "labda na yule"hao wengine waondolewe abakie masoud, gerald na pj labda na yule barbra hassan
something we call information fetchingKipi hicho?
Wakuu salamu.
Inasemekana PJ n Hando wamerudi tena Clouds fm. Waliondoka kwa mbwe mbwe sana kwenda Efm japo kwa maoni yangu hawakufanikiwa kufanya kile nilichotarajia! Lakini leo asubihi katika nyapia nyapia zangu pale Efm inasemekana PJ amekabidhi barua ya kuacha kazi na leo asubuhi ameonekana Clouds fm.
Hoja yangu ya msingi je Radio za Tanzania zimekosa kabisa kutengeneza damu mpyaa hadi kugombania watangazaji wale wale ambao kimsingi hawana jipya?
Niliona usajili wa Gadner pale Clouds kutoka Efm nao haukuleta jambo jipya sana kwenye jahazi! Ukiangalia kitakwimu bado Ubaoni ya Efm ndio yenye wasikilizaji wengi kwa mujibu GO nyakati za jioni. Ilitosha kwa Clouds kujifunza hilo kwamba sasa wanapaswa kuamini damu mpya.
Kingine cha kusikitisha kwenye radio hizi zimebakia kugombania watu maarufu na huku wenye taaluma hii wakiwa mtaani hawana kazi mfano mtu kama Gigy Money anakuwa mtangazaji kwa elimu ipi na kwa taaluma ipi?
Radio zetu hizi kubwa za Dar zinapaswa kuwaamini na kuwapandisha madaraja watangazaji wa Mikoani ambao ni wazuri kuliko hawa mjini wanao wasumbuaa.
Nimejiuliza sana mikataba ya hawa watu ipoje kama PJ ameweza rudi Clouds kijanja janja hivi na hata miaka miwili haijaisha.
Tatizo maslaiPJ UMENISIKITISHA SAAAAAANA mmmh.!!!!
Sina uhakika na hiyo taarifa yako nachokijua ni kwamba PJ anaumwa kwa siku mbili hajasikika hewani ila jana GH na Adela walikuwepo.
Ninachoamini ni Kiki ya Efm kuongeza wasikilizaji wa Joto la Asubuhi....PJ anaumwa jino shavu limevimba so kutangaza inampa ugumu akaamua kuchukua sick leave.
Hakuna kitu kama hicho [HASHTAG]#Huu[/HASHTAG] _mchezo hauhitaji_hasira.Bado huamini kuwa PJ karudi Clouds?
Fredwaa anapochangia hoja huwa natengeneza taswira...Wabongo tumealikwa Mkutano wa Mawaziri wa G8...mjadala mezani kuziboresha Ndege za Concorde ili zirudi hewani...katikati ya mjadala Mbongo wetu anatoa Picha kuubwa ya ile Helicopter yetu 'na sisi tumeanza kuunda Helicopter'fredwaa ni mzuri ila wamtafutie kipindi, pale haendani na wenzake..