Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

mirija haizibi Hivi Hivi, hayo maumivu ya Tumbo chronic ilikuwa dalili. Either complication ya abortion iliyopita, ama mgonjwa sugu ya zinaa ambayo hayakutibiwa (chronic pelvic inflammatory disease). All the best
 
Hawa mastaa wetu ni waongo sana. Maisha yao inst au akikutana na macamera hua wanajitapa sana kua wako njema kifedha. Wakipata matatizo wanaumbuka kweli kweli. Diva njoo nikupe hivo vi milion 15 bila masharti yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema maumivu huwa ni makali zaidi endapo mhusika anakumbukumbu aliwahi kufanya abortion
Kuna siku chuoni walionyesha documentary jinsi abortion inavyofanyika hatua moja mpaka mwisho, wanawake wengi hawakuimaliza wengine walikimbia na wengine walizimia ukimbini
 
Haya majina ya "The Boss/The Bawse" hua yana akisi uhalisia kweli?Au ni sifa za kijinga!The Boss Dola 7000 unaanza kujiliza kwenye mitandao!Anyway pole sana na M.mungu akufanyie wepesi Inshaallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anataka mbegu nitatoa ila kuchanga pesa nawaachia wenye moyo

Hivi huyu si anasemaga wa kishua?
 
mirija haizibi Hivi Hivi, hayo maumivu ya Tumbo chronic ilikuwa dalili. Either complication ya abortion iliyopita, ama mgonjwa sugu ya zinaa ambayo hayakutibiwa (chronic pelvic inflammatory disease). All the best
Je huko sahihi Katika hili? Hizo ndio sababu za pekee za kuziba mirija
 
Aliwahi kusema anaishi nyumba ya dola elfu moja kwa mwezi,ina maana dola elfu kumi na mbili kwa mwaka.Anakosaje dola elfu saba?
Msameheni,kuna maisha ya kiuhalisia na maisha ya instagram,99% maisha ya instagram ni Fekero.
 
Siatoe pale kwenye milioni mia tano ya mahari? asituchore aloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…