Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Hakuna ajuae Kesho...Apumzike kwa Amani
Acha ujinga njoo Muhimbili monchwari uone watu wanakufa wengi tu, kila siku hapa ni kuaga miili ya watu.
Haiwezekani!
Jiwe hawezi kufa ghafra kiasi hicho, ana presidential treatment.Wa ajabu ww, kifo ni kitu kingine, usishangae ww mwenyewe hii ndio ikawa asubui yk ya mwisho ktk uhai Wa dunia Kaka angu,ndio maana tunaimizwa na kumuimiza jiwe kuwa dunia ni yakupita awatendee wema wenzie,
Jehnam ni gereza kwa wenye kufanya ubaya duniani, tusijisahau kwakweli
Mmh nini tatizo tena maana siku ya maziko ya Ruge Mutabaha alikuwapo siku ile!
Huyu kibonde kipindi kile tunadai bumu kuongezwa kutoka buku 5 mpaka 7500,alituzingua sana kwa kutusema vibaya kuwa tunarumia pesa kwa anasa!Hata ule wimbo wa Roma,
Wewe nae ni kibibi et!May his soul rest in eternal peace.....
Nimekumbuka tangu enzi za upanga anatangaza CTN.....
Kasinde.
Yes, mwaka jana ndio alifiwa na mkeweHuyu si kafiwa na mke juzi juzi!![emoji15]