kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,144
baada ya kufariki kwa Ruge na eprahim kibonde nae amemaliza safari leo
mkuu wa mkoa wa mwanza ndie aliethibitisha hilo kwa kutoa taarifa hizi [emoji116] [emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mkuu wa mkoa huyu si ndo yule aliesitisha zoezi la uwokozi ktk ajali ya kuvuko MV nyerere Kule ukala, kisa kiza kimeingia ee?