Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
huu ndio ujinga wa wa-Afrika, kukosa Elimu eti maiti hasemwi, maiyti anachapwa kwa maujinga yake hata kama fimbo hazisikii.maiti hasemwi kwa mapungufu yake bt anasemwa kwa mazuri yake nakutakiwa pumziko jema maana binadam wote tuwakosaji.
Nuru usoni huwa ipo vipi ?Hakuwa mwongeaji mwenye nuru usoni, it's like kuna kitu au labda ndio ilikuwa haiba yake, idk.
Pole kwa familia na ITV.
sitting azam tvR.I.P Dada Agness.
Nilichanganya mamba hapa nilidhani ni yule Fatuma Almasi Nyangasa, sitting yukowapi sikuizi.
wewe ni makamilifu ndo maana unanena yote haya, kazi ya kuhukum ni ya mungu mtu unaeza muona mkosaji sana bt mbele za mungu kashatubia na ana daraja la pekee kuliko hata wewe mbwabwajihuu ndio ujinga wa wa-Afrika, kukosa Elimu eti maiti hasemwi, maiyti anachapwa kwa maujinga yake hata kama fimbo hazisikii.
Kama hasemwi mbon anasifiwa, ?
Huu ni ujinga wa kiwango cha Phd, mtu aliyemuua Ben saa 8, Azory , aliyempiga Lissu kweli akifa utamlilia, utaacha kumsema?
Hujielewi wewe, Sijamzungumzia huyu marehemu wa IYTV, nimetahadharisha kuombea marehemu/ Ibada ya Sanamu ni chukizo mbele za Mungu.wewe ni makamilifu ndo maana unanena yote haya, kazi ya kuhukum ni ya mungu mtu unaeza muona mkosaji sana bt mbele za mungu kashatubia na ana daraja la pekee kuliko hata wewe mbwabwaji
majaji wenzako wote wana busara kasoro weweHujielewi wewe, Sijamzungumzia huyu marehemu wa IYTV, nimetahadharisha kuombea marehemu/ Ibada ya Sanamu ni chukizo mbele za Mungu.
Mungu anahukumu ila kuna mambo yamezungumzwa kwenye vitabu vyake, kwa macho tunaona na tunajua,
Shingo ya twiga lips nzuri .Kaondoka na shingo yake haki ya mungu.
Tangulia Agnes mungu akulazwe pahali pema
majaji wenzako wote wana busara kasoro wewe
Kwa kweli kaondoka na utamu wakeShingo ya twiga lips nzuri .
RIP Agnes
@GENTAMYCINE ana ugonjwa wa kutukana ovyo kama Jiwe
Mzukulu kala ban ?Wa hivyo, kama walivyo unawakirimu kikamilifu sawa sawa na hali zao - unawapuuza!
MODs walifanya la maana sana. Kwani sasa maisha ni murua!
Pana mijitu midomo ni michafu na inanuka hata kuliko matundu ya vyoo vya shimo vilivyo kwenye vilabu vya pombe za kienyeji.
Maajabu na kweli, bado inatumia midomo hiyo hiyo pia kulia chakula!
Kale ka list katakuwa na kazi gani basi kama warugaruga hawa wangalipo roaming around and free?
NiniMnhhh!!!
Wabongoo!!!???
Kama Mazishi yawe kama ya wengine, ina maana unayoita ibada ya sanamu itakuwapo, maana ni mwili wake unazikwa.Kama ya wengine , ila "Mvunaji hapangiwi pa kuweka Mazao"
Mungu hapangiwi, mara ooh awekwe mahali pema peponi, mara jehanam, aah, Utavuna ulichopanda, no more no less!
Labda utueleze ni nani ili hata msiba tuususie.huu ndio ujinga wa wa-Afrika, kukosa Elimu eti maiti hasemwi, maiyti anachapwa kwa maujinga yake hata kama fimbo hazisikii.
Kama hasemwi mbon anasifiwa, ?
Huu ni ujinga wa kiwango cha Phd, mtu aliyemuua Ben saa 8, Azory , aliyempiga Lissu kweli akifa utamlilia, utaacha kumsema?
Umempa za uso, hawezi rudi tena.Wewe mpuuzi tu.
Ujanja wote unaojitia unao lakini hukujua kwamba kwenye nafasi ya ugombea urais wa JMT mgombea Urais na makamu wake wanatakiwa wawe wanatoka pande mbili tofauti za muungano.
Hatususi msiba, tunasusa ibada za wafu.Labda utueleze ni nani ili hata msiba tuususie.