Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
huu ndio ujinga wa wa-Afrika, kukosa Elimu eti maiti hasemwi, maiyti anachapwa kwa maujinga yake hata kama fimbo hazisikii.maiti hasemwi kwa mapungufu yake bt anasemwa kwa mazuri yake nakutakiwa pumziko jema maana binadam wote tuwakosaji.
Kama hasemwi mbon anasifiwa, ?
Huu ni ujinga wa kiwango cha Phd, mtu aliyemuua Ben saa 8, Azory , aliyempiga Lissu kweli akifa utamlilia, utaacha kumsema?