TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

RIP Agy.

Ila alikua mdada mpole Sana huenda alikua na kitu kinamsumbua kwa muda mrefu.

Sudden death More often is manifestation of silence chronic underlying disease

Tuwe tunazingatia sana 'Ratiba' za Unywaji wa 'Dawa' hasa zile za 'Magonjwa' ya Hatari yalipo hapa duniani tafadhali ili Kujilinda na Kuwalinda pia.
 

mkuu,hakuna binadamu mwili wake unaishi miaka 1000,2000,500 kaburini. mifupa ina kikomo chake baada ya hapo inaisha,labda uwe umefanyiwa mummification au uwe wale wazee ambao miili yao haiharibiki kabisa mfano kule kigoma kuna mzee alikua mtoa hadhana msikitini alipofariki ilipita miaka mingi sana wakafukua kaburi lake walimkuta yupo kama alivyozikwa mwingine yupo huko Dar wachimba makaburi walimfukua ili wauze kaburi lake wakiamini amesha decompose wakamkuta yupo kama wewe hivo ulivo ila amekufa miaka zaidi ya 30 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…