TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Inasikitisha sana!
Huyu dada juzi tu alikuwa anasoma taarifa ya habari leo hatunaye?
Hapa duniani kweli tunapita tu, hakuna haja ya kuwekeana visasi...
Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe!!!
 
Ni mpumbavu kiwango cha lami anayeweza kusema Tanzania hakuna Corona.
 
dah poleni sana wanafamilia na ITV.kwahiyo kipindi cha dakika45 na Lisu leo haitaonyeshwa watakuwa na maombolezo au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…