TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Ni mpumbavu kiwango cha lami anayeweza kusema Tanzania hakuna Corona.
Hii corona mnayosema haina athari sana kwa waafrika?(bila kueleza kwanini) corona tumeiona China na ulaya huko.
 
mkuu,sijapata muda wa kusoma mazungumzo yenu (sio lazima kufanya hivo) lakini nimeona ni vema kumuomba aliyetukana aache .kwako ni tatizo mimi kufanya hivo ?
Una sifa flani ya upole ambao si sawa kwa mtu aliyepinda. Kuna mtu ukimrekebisha hawezi badilika hivo solution ni kumuacha.

Nenda kwenye uzi wake wowote uone kama unaweza badili akili zake.
 
Manyumbu yatakuja kusema ni corona

Nyumbu wewe unauhakika gani siyo Corona?

Kwani Corona siyo ugonjwa ambao mtu yeyote anaweza kuugua na hata kumwua?

Mbona hamna staha hata na familia ya marehemu mamburura nyie?

Yaani mko ki buku 7 zaidi. Haya wahi kwa chaku anazo buku 7 zako.
 

pole sana mkuu
 
@GENTAMYCINE ana ugonjwa wa kutukana ovyo kama Jiwe
Na anatukuzwa na wakuu. Utaona watu wanajishtukia na kujisemesha kwa unyenyekevu utadhani ana lolote. Mpuuze uone kama kichwa chake kitavimba tena.
Mtu matusi mdomoni kila thread, reply, comment then watu wanahangaika nae. Ngoja aje na vifungua na funga semi.

NB: Kwetu tukiwa msibani ndipo tunapata muda wa kuwakanya wakosefu.
 
innalillah,wainnailaihi-raaj'oon...


haya maisha ni binary... let's pray na kufany mema kwa wingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…