TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Ama hakika, binadamu si wa kudumu, tunaishi Kwa muda mfupi na tunatoweka na kuyeyuka kama upepo

Leo tupo, Kesho hatupo, Heri Yao Wafu wafao katika Bwana, Maana watauona Ufalme wa mbinguni

R.I.P
 
Bro hebu fafanua hapo. Mkewe alikua Rehema Mwakangale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…