TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Inaelekea unaifahamu/unamfahamu vema. Tatizo ni nini? single father? what happened akawa single father? Waziri wa enzi? nitonei inbox basi..
 
R.i.p Elisha japo ulikua tbccm ila ulijitahidi kubalance shobo sio kama waliobaki, hii ni second wave ya changamoto ya upumuaji, tuwe makini tuendelee kunawa mikono na social distancing japo hapa kwetu yule tyrant anadai imeisha kwa kufunga na kupiga nyungu
 
Nimesoma comments hapa, nikasikitika. Siyo kwa sababu mtu kafa. La! Kifo ni amri. Ni kwa jinsi kiongozi wetu mkuu alivyotugawa. Sijui akipewa miaka mingine 5 itakuwaje!
Hapana. Chuki za kibinadamu zipo tu.
Nakukumbusha:
1: Walivyofariki wanajeshi wetu Darfur ( Kikwetes regime) watu walishangilia.
2: Walivyofariki watanzania kule Mkuranga Kibiti 2015 May watu walisema yao.
 
Ubarikiwe sana mtumishi
 
RIP Elisha, unamaanisha RM alikuwa mke wake?
 
Kwahiyo enock bwigane anaanza kupiga jaramba kwa mjane? natania tu R.I.P Elisha
 
Ni kweli,,wanasiasa tunawaomba wa control emotions zao na maamuzi yao,,sote ni wanadamu wajitaidi kuvumiliana na kutokuumiza jamii kwa kuigawa vipande,,
Mbona mnawasingizia wanasiasa?
Nani mwanasiasa amehamasisha chuki?
Wote wanasisitiza Amani, Upendo, Umoja.
 
Namjua mtu aliyefariki July 2020 kwa mchanganyiko wa magonjwa ikiwepo korona. Korona haiwezi kuwa Uganda, Rwanda, Malawi, Kenya... Halafu ikaheshimu mipaka ya nchi. Virusi havihitaji passport kuvuka mipaka.
asante sana. Umenitisha kuwa this is the second wave of upumuaji! Definitely corona bado ipo sana, sema the strain circulating among us is not that much virulent!, lkn Corona bado ipo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…