TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

Ndio mkuu!!
Lakini all the same ulipokuwa ukimwangalia usoni Elisha, kwa watu ambao wana umri mkubwa wa kuishi na kuona mengi (kuishi kwingi ni kuona mengi), clearly huyu alikuwa anaumwa! Niliwahi kusema kuwa huyu hii siyo afya ya kawaida... RIP.... si vizuri kutaja watu lkn kuna mwingine Bwigane naye afya yake huwa siipendi... mnisamehe..
 
Poleni Tbccm,huyo alikuwa hajitambulishi kwa jina la ukoo,Leo ndio nimefahamu ukoo wake ni Mwakalinga maana alikuwa anaishia kwenye Elisha Elia.
Tbccm punguzeni mahaba kwa mbogamboga mtakwisha .Chagua TL mpate uhuru haki na maendeleo
Kwan mahaba ya mbogamboga ndio yamemuua? Ebu acha itikadi zako za kisiasa kwenye mambo kama haya, ata wanao msifisia lisu nao wanakufa. Kumbuka alikuwa anafanya kaz na umoja wa mataifa pia kwaiyo nao utasema ni wana ccm?
 
Alikua na kipindi chake kinaitwa 'kishindo cha JPM'

Itoshe tu kwamba alikua mwana-CCM mwaminifu....tusiseme mengi.

Mola ampokee na kumhifadhi anapostahili.
Kutekeleza majukumu yake aliyopewa na mwajiri wake ndo kuwa mwanangu ccm mwaminifu? Hivi nyie vijana mnashida gani? Ulitaka asifanye kazi? Utamwajiri wewe?
 
Siasa zinatupofusha macho lakini the good side is that death is for us all. Usikashifu mtu kisa tu hukubaliani na siasa zake, mara alikuwa tbccm, mara kishindo..mlitaka asifanye kazi, mngemlipa nyie? Futseke zenu!!

Kifo hakina adabu wala huruma, aliyeleta na kuruhusu kifo kwa kweli sina la kumwambia.
 
Lakini all the same ulipokuwa ukimwangalia usoni Elisha, kwa watu ambao wana umri mkubwa wa kuishi na kuona mengi (kuishi kwingi ni kuona mengi), clearly huyu alikuwa anaumwa! Niliwahi kusema kuwa huyu hii siyo afya ya kawaida... RIP.... si vizuri kutaja watu lkn kuna mwingine Bwigane naye afya yake huwa siipendi... mnisamehe..
Ninadhan ninaweza kukubaliana na wewe kwa upande w elisha..kuna wakat alipoteza dira kabisa alikua mlevi kupindukia na kazini pia aliacha kuja kabisa..wakat huo alikua anahusishwa na mama mmoja hivi wazir wa enz..baadae sana ndhan baaada y canceling ya kutosha ndiyo akawa tena vizuri...

Na kipindi hiki ndiyo alikua anajiweka viziri kuitafuta nyota yake ila bahat mbaya ugonjwa uliomuua umemuua..so so sad kwa familia ya elia watoto wake wawil vanesa na lugano..pole kwao bado wanahitaji mapenzi yake hasa ukizingatia ni single futher..
 
Lakini all the same ulipokuwa ukimwangalia usoni Elisha, kwa watu ambao wana umri mkubwa wa kuishi na kuona mengi (kuishi kwingi ni kuona mengi), clearly huyu alikuwa anaumwa! Niliwahi kusema kuwa huyu hii siyo afya ya kawaida... RIP.... si vizuri kutaja watu lkn kuna mwingine Bwigane naye afya yake huwa siipendi... mnisamehe..
Kuna baadhi institutions, kuzungukana kwingi, ikitokea samaki mmoja akioza basi........

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom