Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Nini maana ya PHD tuanze kwanza na wewe isije ikawa wewe ndio kamishna wa vilaza
PhD za CCM ndizo huagiza wapinzani wabambikiwe kesi, phd zilizopo CCM ndizo phd za hovyo kupata kutokea Duniani
 
Chadema imepitia hali ngumu kwa miaka mitano,wamekumbwa na mambo mengi sana ya kuwaondoa njia kuu ya kufanya au kushiriki siasa.
Wapongeze kwa hata hicho tunachoona leo.
 
75% ya hao wanaccm mil 8 wameichoka ccm na wako tayari kumpigia Lisu kura.
Tatizo ni NECCCM kutembea na matokeo ya Urais, Yaani CCM ishinde isishinde Tumeccm watawatangaza CCM kwa nguvu huo ndiyo Ugonjwa sugu uliopo Tanzania hii ya unyanyasaji tokea CCM
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Tatizo ni NECCCM kutembea na matokeo ya Urais, Yaani CCM ishinde isishinde Tumeccm watawatangaza CCM kwa nguvu huo ndiyo Ugonjwa sugu uliopo Tanzania hii ya unyanyasaji tokea CCM
Safari hii tunatakiwa kuukomesha kwa gharama yoyotee
 
Habari za chato mkuu , kuwa na PhD na kutokuweza kutamka hata sentensi moja ya kiingereza ndio mnaita uchumi wa kati eeee ?
 
Habari za chato mkuu , kuwa na PhD na kutokuweza kutamka hata sentensi moja ya kiingereza ndio mnaita uchumi wa kati eeee ?

language sio important , mbna china hawaongei kingereza, what about RUSSIA, KOREA wanaongea ENGLISH? na hapa ndo inajionyesha kabisa mnataka kuuza nchi, how can you measure kwa kutumia english, ARE YOU OK UPSTAIRS, ukweli ni kwamba jamaa i smart hio haina ubishi na watanzania wote as long hauvai barakao means we ni fun wake
 

Kakojowe ukalale
 


i think msaliti anatakiwa kua dead not injured, what kind of human unaweza kusaliti nchi yako na utake kugombea uraisi, kwa uchaguzi huu ccm wamecheza karata vizuri, ingawa sisi wote ni binadama ila jamaa kakosa uzalendo kabisa, akianzaga zile mada zake eti ataanza na mahusiano na nchi zingine ndo kabisaaa ananyoosha maelezo amekaa kisaliti, Tanzanians ni wajamaa sasa we unadhan unaweza kuwapora?
 
Nini maana ya PHD tuanze kwanza na wewe isije ikawa wewe ndio kamishna wa vilaza

huo mda wa mada za kibishi mnawezaga tu wenyewe kwa wenyewe, katafute mtu mwenye akili za kitoto kama zako, ukweli ni kwamba magufuli is the smartest president, tuzo ya 100 influential africans ya 2016 anastahili kama 100 ivi, sasa cdm mna lipi la kutuambia kama sio ubishi wa kitoto, its over for cdm wacha vyama vingine viwe vyama vikuu
 

Utafi

Upuuzi
 
Humu watu wamelishwa chuki ikitolewa hoja badala ya kujadili wanamjadili mtoa hoja halafu haohao wanamlaumu Magufuli ni dikteta ila hawajui hata wao wana vielement vya udikteta sema tu hawajapata nafasi
 
Uandishi wako unavutia lakini hoja ni dhaifu sana. Umesema watu wengi hawajajiandikisha ni ngumu TL kutoboa then unamshauri eti atumie uwezo wake kushawishi ili apate wabunge wengi. Swali hawa wabunge watapigiwa kura na nyani maana watu wengi hawajajiandikisha!!

Ila watanzania wanafikiii khaa! Eti ushauri kwa TL atumie uwezo wake wa ushawishi apate wabunge wengi!! Sasa kwanini usishawishi mashetani ndani ya Chama chako yaache kuengua wagombea ubunge wa upinzani ili wapinzani wapate wabunge wengi?
 
Basi sawa
 
PhD za CCM ndizo huagiza wapinzani wabambikiwe kesi, phd zilizopo CCM ndizo phd za hovyo kupata kutokea Duniani
Mashaka yangu juu ya ile PhD yalianza baada ya uhai wa mtu kusemekana kutwaliwa baada ya bwana mdogo marehemu kuanza kuutekenya unyayo wa mwenye PhD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…