Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Uchaguzi 2020 Mtani wangu Tundu Lissu pokea huu 'Ukweli' wangu japo najua hujaambiwa na unaweza ukawauma Wakupendao

Kuna watu hawataki kwa makusudi kusikia maoni ya ushauri kutoka kwa wengine hapa JF.

Nilileta mada hapa inahusu kuwataka waanze kuzungumzia ilani yao ya uchaguzi wakakataa.

Nimekuwa naongelea jinsi upinzani unavyokosa mikakati na mipango ya jinsi ya kukabiliana na CCM bila kutusiana wala kutafutiana makosa ya kiuchochezi lakini imekuwa ni ngumu kueleweka.

Hili la mikakati, mbinu na mipango nimekuwa nikilipigia kelele kwa muda mrefu lakini nimekuwa sieleweki.

Upinzani hauwezi kuitoa CCM madarakani kirahisi kama mnavyojiaminisha.

Nimesema haya kama maoni ya kiuchambuzi lakini mtaniita wa Lumumba.

Upinzani uwe tayari kusikiliza ushauri na maoni mbadala.
 
UTANGULIZI
Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM wengi tu nao wapo kama Mimi juu yako sema tu hawakuonyeshi Kiuwazi japo Mioyoni mwao upo sana tu...
Former RPF member?
 
Sasa huo utafiti upo hivyo mbona wanakata wagombea? Huo utafiti ndio uli conclue ukiwa Mwana CCM lazima upigie kura CCM ?
 
UTANGULIZI
Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM wengi tu nao wapo kama Mimi juu yako sema tu hawakuonyeshi Kiuwazi japo Mioyoni mwao upo sana tu...
Moja tu ulilolisahau: Kwamba wanaopiga kura ni Watanzania na sio wanachama wa vyama vya siasa pekee yao.
 
Umenikumbusha jambo zuri,wakati wa kujiandikisha,kuna watu walihamasisha watu wasijiandikishe kuikomoa Gavamenti,na saizi kampeni zimeanza watu wengine hawakujiandikisha.....itaishia kuwa kelele tu ila vitendo zero......kuna siredi humu nyingi tu......sasa nani atapiga kura?

Anyway,ngoja sisi wapenzi watazamaji tuendelee kula mchuzi....nyama tutazikuta chini
Na hilo ndio tatizo kubwa,mimi nakumbuka kuna wakati watu walikata tamaa ya mass exodus wabunge wa upinzani hasa Chadema wakihamia CCM.

Kitendo hicho kilikatisha tamaa wapiga kura wapya hawakuhamasishwa kisawa sawa.

Lakini kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.
 
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Majina yangu Kamili ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo )[/FONT]
Nadhani moderators mtafanya juhudi za kuhakiki ukweli wa maelezo haya niliyonukuu. Hii itasaidia kupunguza hamaki juu ya ukweli na uhalisia wa mleta mada hii.
 
GENTAMYCINE wengi naona mnamuattack kwa huu Uzi wake,ila tusipende kusikia mazuri tu,hata kukosolewa ni njia mojawapo ya kujenga.....WaTz huwa hatupendi kuambiwa ukweli......iwe chama tawala au opozisheni.......yaani kila mtu akiweka siredi inayokosoa upande fulani anaonekana wa upande fulani,sikweli.....tumpimge kwa hoja na fakti

Nilileta maoni ya Msafisha viatu hapa lakini pia walidhani ni mimi au natania.

Msafisha viatu alieleza masuala mazito sana na akawagusia watu wawili ambao Gentamycine amewagusia.

Sasa leo pale Mbagala walitakiwa kuitumia TBC kuanza kujenga hoja na sio yaleyale ya kutumia maneno kama Uhuni na kadhalika.

Wapewa TBC kutangaza nia na sera zako tumia uzuri.
 
GENTAMYCINE wengi naona mnamuattack kwa huu Uzi wake,ila tusipende kusikia mazuri tu,hata kukosolewa ni njia mojawapo ya kujenga.....WaTz huwa hatupendi kuambiwa ukweli......iwe chama tawala au opozisheni.......yaani kila mtu akiweka siredi inayokosoa upande fulani anaonekana wa upande fulani,sikweli.....tumpimge kwa hoja na fakti

CCM na Rais Dkt. Magufuli wakikosea 'nitawasema' bila 'aibu' na wakipatia 'nitawapongeza' hivyo hivyo hata kwa Vyama vya 'Upinzani' hapa nchini.
 
Leo wanafungua kampeni zao lakini wameshindwa kabisa kusema watafanya nini wakichaguliwa. Muda wote wanalaumu tu
Tumia akili kidogo ...Leo wamezungumzia. Uhuni unaoendelea wa kuwaengua wapinzani ...
Kimsingi wamefanya sahihi kusimamia Haki!
 
Na hilo ndio tatizo kubwa,mimi nakumbuka kuna wakati watu walikata tamaa ya mass exodus wabunge wa upinzani hasa Chadema wakihamia CCM.
Kitendo hicho kilikatisha tamaa wapiga kura wapya hawakuhamasishwa kisawa sawa.
Lakini kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.
Yeah ile hali ilikatisha wengi tamaa na kuona kupiga kura nikupoteza muda,na muda ule wa kwenda kujiandikisha ilionekana ni kupoteza tu muda,nikweli wapiga kura unaweza kuwabadilisha kwa muda mfupi ila ingependeza zaidi kungekuwa na kamtaji ka kuanzia
 
UTANGULIZI
Sijawahi hata Siku moja kuficha Hisia zangu za 'Kukukubali' sana hasa kwa aina ya 'Misimamo' yako thabiti, uwezo wa Kufikiri ( Akili ) na pia Kuchambua mambo 'Kiumakini' kabisa. Na hapa nisikufiche si Mimi tu ambaye ni mwana CCM nakiri na kulisema hili ila nina uhakika hata wana CCM wengi tu nao wapo kama Mimi juu yako sema tu hawakuonyeshi Kiuwazi japo Mioyoni mwao upo sana tu...

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Majina yangu Kamili ni Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo )
Atakaye upinga uzi huu anatakiwa akapime mkojo kama anatumia madawa ya kulevya ama akili kama ana akili timamu. Leo umekuwa kama Mwandishi wa habari za kiuchunguzi. Kila kipengele ni cha maana japo wafuasi wa Lissu watakataa ama wafuasi wa CCM wataleta dharau kwa Lissu lakini huo ndiyo ukweli wenyewe
 
Kuna undecided "votaz".CCM ingekuwa na uhakika wa 8M votes isingefanya Kampeni.Nadhani Chadema wamekusikia pia.Naona uchaguzi huu una Tension kuliko wa 2015
 
Nchi hii bana kwa kweli Ina Mambo mengi sana na watu wa aina yake.NEC wanatuambia Kuna wapiga kura 29milioni waliojiandikisha kupiga kura mwaka huu. CCMkwa mujibu wa pole pole inawanachama Kama 14 milioni,Je hao 15 milioni ni akina nani?
Hao 15m wanagawana Kura na Chadema
 
Back
Top Bottom