technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja
Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance
Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea.
Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka 4 ikatwaa ubingwa baada ya Karia kushutumiwa
Akaacha mpira uchezwe utawala wa yanga ukarudi.
Sasa naona utawala wa yanga unaondoka na tararibu Simba inarudi
Msimu huu Simba atatwaa ubingwa maana engineer Anaenda kuwa mbunge uko Dodoma afatilii Tena timu sio kwa bahati mbaya Ila ni mwendelezo wa siasa za mpira wa nchi hii.
Aiingii akilini kusema yanga ni mbovu wakati yanga imechezwa mechi 10 na Ina mabao 14na imeruhusu mambao 4 na Ina mabao +10
Wakati mechi za kimataifa yanga kacheza mechi 4 na kafungwa mabao 16 na kuruhusu bao 1 Ina mabao +15
Haiingii akilini kusema hii timu ni mbovu
Karibu bongo Tanzania ambapo kila sector kila nyanja watu upenda kubalance mambo
Na msimu huu Simba atakuwa bingwa