Mtanipinga Ila mpira wa Tanzania bado umejaa siasa

Mtanipinga Ila mpira wa Tanzania bado umejaa siasa

Sijui hata umeandika vitu gani eti kubakance mambo, kwahiyo unataka kusema Karia aliipendekea Simba kama Malinzi alivyoipendelea yanga? Kwa taarifa yako Karia hakuipendelea simba ila ni uwekezaji mkubwa ndio uliibeba na ndio maana miaka ndio ilianza kufanya vizur kimataifa hadi leo hii. Kipindi yanga inapendelewa na Malinzi kimataifa ilifanya nini? Huwezi fanya vizuri kimataifa kama unapewa ubingwa kimagumashi.
 
Na bado mtalia sana kudadeki zenu.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Hii yanga kufungwa wanaondoa yale makelele ya GSM ya kuharibu soka la Tanzania kwa kudhamin vilabu zaidi ya 6.. Simba haiwiwezi kuchukua ubingwa.. Yanga atachukua ubingwa tena msimu huu...

Yale makele kwa GSM ya kudhamini klubu zaidi ya 6 au kuharibu soka la bongo hutayasikia tena kwa sasa.. Ila utopolo wananyanyua kwapa tena msimu huu
Inawezekana
 
Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja

Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance

Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea.

Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka 4 ikatwaa ubingwa baada ya Karia kushutumiwa

Akaacha mpira uchezwe utawala wa yanga ukarudi.

Sasa naona utawala wa yanga unaondoka na tararibu Simba inarudi

Msimu huu Simba atatwaa ubingwa maana engineer Anaenda kuwa mbunge uko Dodoma afatilii Tena timu sio kwa bahati mbaya Ila ni mwendelezo wa siasa za mpira wa nchi hii.

Aiingii akilini kusema yanga ni mbovu wakati yanga imechezwa mechi 10 na Ina mabao 14na imeruhusu mambao 4 na Ina mabao +10

Wakati mechi za kimataifa yanga kacheza mechi 4 na kafungwa mabao 16 na kuruhusu bao 1 Ina mabao +15

Haiingii akilini kusema hii timu ni mbovu

Karibu bongo Tanzania ambapo kila sector kila nyanja watu upenda kubalance mambo

Na msimu huu Simba atakuwa bingwa
Badala ya kutibu mguu unaouma nyie mnatibu kichwa. Kosa la yanga linaanzia pale injinia alipowapiga chini timu ya viongozi wenzake waliomsaidia kuchukua ubingwa kwa udi na uvumba tangu alipokuwa kiongozi Kumbuka timu ya ushindi haibadilishwi na mpira wa tz unachezwa sana nje ya uwanja.Muda huu nataka kuona uwezo wa Ali kamwe na wenzake kuweka mipango ya kuzalisha pesa kwenye klabu wakati timu haipati matokeo mazuri ila kama injinia atamaliza tofauti zake na wote waliomsaidia utaona matokeo mazuri ya klabu yetu.Simba sidhani kama wataweza kufanya kosa kama Hili wamesumbuka sana kwa manara na kutumia ghalama kubwa ikiweno fedha na muda.
 
Hii yanga kufungwa wanaondoa yale makelele ya GSM ya kuharibu soka la Tanzania kwa kudhamin vilabu zaidi ya 6.. Simba haiwiwezi kuchukua ubingwa.. Yanga atachukua ubingwa tena msimu huu...

Yale makele kwa GSM ya kudhamini klubu zaidi ya 6 au kuharibu soka la bongo hutayasikia tena kwa sasa.. Ila utopolo wananyanyua kwapa tena msimu huu
Kwa hiyo GSM ametoa maelekezo kwa wachezaji wa Yanga kuwa waruhusu bao 3 ili kusiwepo kelele za udhamini wake?
 
mechi mbili tuu mbona mmepanik hivi mnajitetea sana
siasa kivipi tena mtani
angalau wanaosema kuna wachezaji muhimu wamekosekana (wameshindwa kujibu swali la kikosi kipana😃😃)
kilichotokea jana ni mambo ya kawaida kwenye boli kunyweni maji kaeni chini msubiri kurasa inayofuata kikubwa msijinyonge
 
Malikia wa nyuki keshatupongeza sisi nyuki washambuliaji kwa kumtimua vibaya sana mwizi wa asali na kumtia majeraha ya kutosha, wewe endelea kusema hiyo ni siasa.
 
Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja

Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance

Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea.

Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka 4 ikatwaa ubingwa baada ya Karia kushutumiwa

Akaacha mpira uchezwe utawala wa yanga ukarudi.

Sasa naona utawala wa yanga unaondoka na tararibu Simba inarudi

Msimu huu Simba atatwaa ubingwa maana engineer Anaenda kuwa mbunge uko Dodoma afatilii Tena timu sio kwa bahati mbaya Ila ni mwendelezo wa siasa za mpira wa nchi hii.

Aiingii akilini kusema yanga ni mbovu wakati yanga imechezwa mechi 10 na Ina mabao 14na imeruhusu mambao 4 na Ina mabao +10

Wakati mechi za kimataifa yanga kacheza mechi 4 na kafungwa mabao 16 na kuruhusu bao 1 Ina mabao +15

Haiingii akilini kusema hii timu ni mbovu

Karibu bongo Tanzania ambapo kila sector kila nyanja watu upenda kubalance mambo

Na msimu huu Simba atakuwa bingwa
We ni yanga lialia, toa upuuzi wako hapa
 
Kwa hiyo GSM ametoa maelekezo kwa wachezaji wa Yanga kuwa waruhusu bao 3 ili kusiwepo kelele za udhamini wake?
Haya mambo huwez kuyaelewa kwa sasa.. Ngoja ngoja kwanza utopolo watakapo chukua ubingwa turud hapa
 
Kwahiyo Karia amebalance vipi yanga kufungwa? Alikua anacheza namba ngapi?
 
Back
Top Bottom