christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Na bado mtalia sana kudadeki zenu.
InawezekanaHii yanga kufungwa wanaondoa yale makelele ya GSM ya kuharibu soka la Tanzania kwa kudhamin vilabu zaidi ya 6.. Simba haiwiwezi kuchukua ubingwa.. Yanga atachukua ubingwa tena msimu huu...
Yale makele kwa GSM ya kudhamini klubu zaidi ya 6 au kuharibu soka la bongo hutayasikia tena kwa sasa.. Ila utopolo wananyanyua kwapa tena msimu huu
Badala ya kutibu mguu unaouma nyie mnatibu kichwa. Kosa la yanga linaanzia pale injinia alipowapiga chini timu ya viongozi wenzake waliomsaidia kuchukua ubingwa kwa udi na uvumba tangu alipokuwa kiongozi Kumbuka timu ya ushindi haibadilishwi na mpira wa tz unachezwa sana nje ya uwanja.Muda huu nataka kuona uwezo wa Ali kamwe na wenzake kuweka mipango ya kuzalisha pesa kwenye klabu wakati timu haipati matokeo mazuri ila kama injinia atamaliza tofauti zake na wote waliomsaidia utaona matokeo mazuri ya klabu yetu.Simba sidhani kama wataweza kufanya kosa kama Hili wamesumbuka sana kwa manara na kutumia ghalama kubwa ikiweno fedha na muda.Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja
Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance
Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea.
Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka 4 ikatwaa ubingwa baada ya Karia kushutumiwa
Akaacha mpira uchezwe utawala wa yanga ukarudi.
Sasa naona utawala wa yanga unaondoka na tararibu Simba inarudi
Msimu huu Simba atatwaa ubingwa maana engineer Anaenda kuwa mbunge uko Dodoma afatilii Tena timu sio kwa bahati mbaya Ila ni mwendelezo wa siasa za mpira wa nchi hii.
Aiingii akilini kusema yanga ni mbovu wakati yanga imechezwa mechi 10 na Ina mabao 14na imeruhusu mambao 4 na Ina mabao +10
Wakati mechi za kimataifa yanga kacheza mechi 4 na kafungwa mabao 16 na kuruhusu bao 1 Ina mabao +15
Haiingii akilini kusema hii timu ni mbovu
Karibu bongo Tanzania ambapo kila sector kila nyanja watu upenda kubalance mambo
Na msimu huu Simba atakuwa bingwa
Utakumbuka tu hata kwa lazima.Ndo chuma tatu Mara ya mwisho lini yanga kufungwa bao tatu duh sikumbuki
Kwa hiyo GSM ametoa maelekezo kwa wachezaji wa Yanga kuwa waruhusu bao 3 ili kusiwepo kelele za udhamini wake?Hii yanga kufungwa wanaondoa yale makelele ya GSM ya kuharibu soka la Tanzania kwa kudhamin vilabu zaidi ya 6.. Simba haiwiwezi kuchukua ubingwa.. Yanga atachukua ubingwa tena msimu huu...
Yale makele kwa GSM ya kudhamini klubu zaidi ya 6 au kuharibu soka la bongo hutayasikia tena kwa sasa.. Ila utopolo wananyanyua kwapa tena msimu huu
Pole mkuuNashindwa kulala mwana Yanga aliye macho tafadhali
We ni yanga lialia, toa upuuzi wako hapaTanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja
Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance
Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea.
Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka 4 ikatwaa ubingwa baada ya Karia kushutumiwa
Akaacha mpira uchezwe utawala wa yanga ukarudi.
Sasa naona utawala wa yanga unaondoka na tararibu Simba inarudi
Msimu huu Simba atatwaa ubingwa maana engineer Anaenda kuwa mbunge uko Dodoma afatilii Tena timu sio kwa bahati mbaya Ila ni mwendelezo wa siasa za mpira wa nchi hii.
Aiingii akilini kusema yanga ni mbovu wakati yanga imechezwa mechi 10 na Ina mabao 14na imeruhusu mambao 4 na Ina mabao +10
Wakati mechi za kimataifa yanga kacheza mechi 4 na kafungwa mabao 16 na kuruhusu bao 1 Ina mabao +15
Haiingii akilini kusema hii timu ni mbovu
Karibu bongo Tanzania ambapo kila sector kila nyanja watu upenda kubalance mambo
Na msimu huu Simba atakuwa bingwa
Haya mambo huwez kuyaelewa kwa sasa.. Ngoja ngoja kwanza utopolo watakapo chukua ubingwa turud hapaKwa hiyo GSM ametoa maelekezo kwa wachezaji wa Yanga kuwa waruhusu bao 3 ili kusiwepo kelele za udhamini wake?
Sasa kama hayaeleweki, umeyaleta ya kazi gani?Haya mambo huwez kuyaelewa kwa sasa.. Ngoja ngoja kwanza utopolo watakapo chukua ubingwa turud hapa