Hii inafikirisha,
Hivi karibuni google wamepata backlash sana kutoka kwenye artificial intelligence (ai) software yao ya gemin ambayo imeonekana kama inaleta racism (ubaguzi wa rangi).
Yani ipo hivi, hio gemin ai ukiiuliza ikupe picha yeyote ya mtu, inakuletea picha ya mtu mwenye rangi nyeusi. Hata akiwa huyo mtu ni mzungu.
Sasa watu hasa weupe akiwemo na Elon Musk, wakachukulia hio ishu kwa ukubwa sana kwa kuishambulia google kua imeflop kwenye hio ai na ukizingatia hichi kipindi kuna ushindani mkubwa kwenye ai.
Na wengine wakaenda mbali na kuhusisha na ishu za white extinction conspiracy (kuiondoa jamii ya watu weupe). Kwani hii gemin ai software ilikua hata ukiuliza the founding fathers of america inakupa watu weusi ila wenye mfanano na watu halisi. Yani kama George Washington, sura inakuwa yake ila ngozi nyeusi.
So inawezekana huyu Abraham Mgowano akawa pia alihusika kwenye kutengeneza hii Gemin ai, na kwenye boti alikuwa na watu weupe wakaamua kufanya yao, coz wanamuona ka ni agent wa hio white extinction theory.
R.I.P ABRAHAM