TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Hii inafikirisha,
Hivi karibuni google wamepata backlash sana kutoka kwenye artificial intelligence (ai) software yao ya gemin ambayo imeonekana kama inaleta racism (ubaguzi wa rangi).
Yani ipo hivi, hio gemin ai ukiiuliza ikupe picha yeyote ya mtu, inakuletea picha ya mtu mwenye rangi nyeusi. Hata akiwa huyo mtu ni mzungu.
Sasa watu hasa weupe akiwemo na Elon Musk, wakachukulia hio ishu kwa ukubwa sana kwa kuishambulia google kua imeflop kwenye hio ai na ukizingatia hichi kipindi kuna ushindani mkubwa kwenye ai.
Na wengine wakaenda mbali na kuhusisha na ishu za white extinction conspiracy (kuiondoa jamii ya watu weupe). Kwani hii gemin ai software ilikua hata ukiuliza the founding fathers of america inakupa watu weusi ila wenye mfanano na watu halisi. Yani kama George Washington, sura inakuwa yake ila ngozi nyeusi.
So inawezekana huyu Abraham Mgowano akawa pia alihusika kwenye kutengeneza hii Gemin ai, na kwenye boti alikuwa na watu weupe wakaamua kufanya yao, coz wanamuona ka ni agent wa hio white extinction theory.

R.I.P ABRAHAM
 
Kweli kabisa
Ila jamaa class yao walikuwa ni watundu na wana umoja utasema ni ndugu sipati picha huu msiba karibia wote watakuwa kimara labda kama mzee mgowano atakuwa amesha hama huko
Walikua watundu na walikua na ushirikiano sana

Kwa jinsi wasivyopenda makuu wale wazazi wao nadhani bado watakua wanakaa pale pale kimara kwa bondeni,japo wana nyumba kadhaa

Ila wale watoto wana maisha yao mazuri na majumba yao na wote ni computer engineers,jamaa wa Google ndio hela ilikua ishaanza kumiminika bahati mbaya ndio hivyo tena

Kwa huu msiba I really feel sorry for them

I remember genius Abraham kamaliza Stanford familia nzima ikaja America kumsapoti mtoto wao na leo ndio kawatoka tena

I wonder kama mtu alikua na beef na marehemu itakua ni maajabu maana jamaa alikua mkimya sana na very respectiful...cha ajabu hii dunia wenye akili na maana ndio wanakufaga tunabaki sisi wasumbufu
 
RIP.. kifo kipo tu na hakijawahi kumridhisha mtu kila ataekufa lazima mambo yawe mengi isitoshe huyu jamaa sio genius sana wa kutetelesha ulimwengu siku yake tu imefika.
Mkuu kwa wabongo mtanzania kufanya kazi Google, Microsoft et al ni kitu kikubwa na automatically unakuwa genius ndio maana watu wanahisi jamaa kauwawa, hawajui kwa wenzetu huko ni jambo la kawaida tu ndio maana kuna watu kama kina Benjamin Fernandes walikataa kuajiriwa huko ili waje kufungua kampuni zao bongo, sababu walijua kwa Marekani kufanya kazi huko siyo big deal ila huku bongo ni maajabu ndio maana wengi walivyosikia jamaa kakataa ile kazi na ule mshahara, walimshangaa lakini angalia alipo sasa na kampuni yake ya Nala
 
Back
Top Bottom