TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Huenda Taifa likapeleka kikosi maalum cha kijasusi mpaka eneo la tukio na kuzama ndani ya uchunguzi mzito, haiwezekani watupe tu taarifa turidhike bila kujiridhisha.
 
Dah inahuzunisha. Elias kihombo wetu mwengine katangulia. Stanford siyo mchezo.

R.I.P

Baba Swalehe
 
Tupe kichwa cha habari. Mengine tutajaza wenyewe.
 
Labda alikuwa mtungi pia hatuwezi juwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…