Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Wana shughuli gani wangapi? Marehemu au watanzania? Kwa maana kama watanzania wote mimi siwezi kujua na usiniulize tena hilo swali,, isipokuwa marehemu ni alikuwa na saloon ya kiumeWana shughuli gani huko, mpaka wanaitiwa polisi?
Kwao Ta barabara ya 18 najuwa..Huyo dogo anaitwa abdilahi ni mtiei ( mtanga)
Hapa souz unaweza kumpa mtu hata elf 50 ya bongo akatoa uhai wa mtu,kuna which wa kinga Sana,huyu jamaa police walidanganywa ana pesa chafu na ana madawa vyote wamevikosa,na ili ujue wametumwa kama alikuwa na madawa Kwa nn wasimuache hai wamkamate nayo ujiulizi Kwa nn wamuue Hana bunduki Wao ndio Wana silaha ni kweli hapa souz watz wengi wanafanya illegal business lkn huyu namtetea police huwa wanakamata unapelekwa kujibu kesi sio kuua,na alipiga kelele wananiua,hata mkuu wao alipoona watu wa ubalozi wamefunga walikuja na aliulizwa Kwa nn umemuua, na hata ndani wali search haikuwa na chochote wangeshaonyesha mzigoWhy Police walitaka hela Nyingi? Why wamsubirie nje ya Nyumba yake? Alikuwa anajishughulisha na Kazi gani South Africa?Kwa nini yeye na sio Mwingine?
Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.
Hii umeitoa wapi? Hao wamalawi wanahangahishwa wapi?Ukiwa ugenini? Kila mtu anakuona wewe dili wewe angalia wamalawi hapa Tanzania wanavyoishi yaani hawana raha hata kwa wananchi wa tanzania sio polisi tu pekee
Alikuwa anajihusisha na madawa au hajihusishi? Issue siyo kukandia ima ukweli ni kuwa wabongo wengi waliozamia south wanaishia kuuza madawa na ukabaji.Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Kumjua siyo tatizo, unaweza mjua ila hawezi kukwambia mbishe zake huko mjini south. Mpaka anasachiwa kulikuwa na taarifa za ndani kumuhusu, kilichokuwa kinatafutwa ni ushahidi tu na bilashaka waliupata.Huyo namjua wala hafanyi mishe za madawa, ameuawa na Polisi wa SA tu, jamaa kapuliziwa Spray zile za pilipili na kufunikwa mfuko ndio ikawa mwisho wake.
Watz wamekiwasha sana hapo.
Wengi wao wanafocus maisha ya leo tu na hawajui kuangalia kesho yao.Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.
Acheni biashara haramu, mwisho wake ni kama huo wa mwenzenu.Safi sana mkuu, hao kenge wanaongea ongea na ukweli unao wewe safi sana waache waendelee kubwabwaja kenge za blue hizo zote zinazompondea jamaa. BIG UP NINJAH
Sio wajinga wanaofanya hayo mambo maisha yana mengi sana.Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.
Jamani, apumzike kwa amaniHuyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Aaamin🤲Jamani, apumzike kwa amani
Acheni biashara haramu, mwisho wake ni kama huo wa mwenzenu.
Hii umeitoa wapi? Hao wamalawi wanahangahishwa wapi?
Yaani wanatia hasira sana hawa kenge, yaani ubingwa wa kubwabwaja humu na kulia Lia na viajira uchwara, sasa wewe kama unaona kuuza drugs ni rahisi nenda na wewe ukauze kama hutakalia chupa, salute kwa watanzania wote wa joberg mliofanya push back dhidi ya police hao wauaji, salute Youville, kempton park, Mayfair na wote wa Hilbrow, now mjitahidi baharia huyu arudishwe nyumbani ili apumzishwe kwa familia yakeKuna vijana wana jifanya wajuaji humu wakati hawjawai hata kuvuka mpaka mmoja wa nchi
Ndo mkishakula vitumbua vyenu vya spoku na maharage ya kidebe mnavyoongopeana hivyo, wabongo wote wauza madawa na wakaba south Africa si ndio,,, hivi nani anaeandamana na kufanya fujo kisa tu kumtetea muuza madawa,, dogo hauzi madawa na ndio maana watu wameandamana,,Alikuwa anajihusisha na madawa au hajihusishi? Issue siyo kukandia ima ukweli ni kuwa wabongo wengi waliozamia south wanaishia kuuza madawa na ukabaji.