Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua