Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Mtanzania Afariki Baada ya Kumeza Dawa za Kulevya akiwa katika harakati za kupoteza kidhibiti South Africa

Why Police walitaka hela Nyingi? Why wamsubirie nje ya Nyumba yake? Alikuwa anajishughulisha na Kazi gani South Africa?Kwa nini yeye na sio Mwingine?
Hapa souz unaweza kumpa mtu hata elf 50 ya bongo akatoa uhai wa mtu,kuna which wa kinga Sana,huyu jamaa police walidanganywa ana pesa chafu na ana madawa vyote wamevikosa,na ili ujue wametumwa kama alikuwa na madawa Kwa nn wasimuache hai wamkamate nayo ujiulizi Kwa nn wamuue Hana bunduki Wao ndio Wana silaha ni kweli hapa souz watz wengi wanafanya illegal business lkn huyu namtetea police huwa wanakamata unapelekwa kujibu kesi sio kuua,na alipiga kelele wananiua,hata mkuu wao alipoona watu wa ubalozi wamefunga walikuja na aliulizwa Kwa nn umemuua, na hata ndani wali search haikuwa na chochote wangeshaonyesha mzigo
 
Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.

Fursa za Maisha ndani ya Tanzania ndio hizi ???

Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Alikuwa anajihusisha na madawa au hajihusishi? Issue siyo kukandia ima ukweli ni kuwa wabongo wengi waliozamia south wanaishia kuuza madawa na ukabaji.
 
Huyo namjua wala hafanyi mishe za madawa, ameuawa na Polisi wa SA tu, jamaa kapuliziwa Spray zile za pilipili na kufunikwa mfuko ndio ikawa mwisho wake.
Watz wamekiwasha sana hapo.
Kumjua siyo tatizo, unaweza mjua ila hawezi kukwambia mbishe zake huko mjini south. Mpaka anasachiwa kulikuwa na taarifa za ndani kumuhusu, kilichokuwa kinatafutwa ni ushahidi tu na bilashaka waliupata.
 
Capital ya kuanzia ni wewe mwenyewe, hamna sehemu yakukupa mtaji bila wewe kuweka juhudi na uaminifu, watanzania vijana wengi wezi, hawana uaminifu na hawana maono.
Wengi wao wanafocus maisha ya leo tu na hawajui kuangalia kesho yao.
Ukimpa mradi asimamie anawaza kuiba tu bila kufikiria kesho itakuwaje

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mkuu, hao kenge wanaongea ongea na ukweli unao wewe safi sana waache waendelee kubwabwaja kenge za blue hizo zote zinazompondea jamaa. BIG UP NINJAH
Acheni biashara haramu, mwisho wake ni kama huo wa mwenzenu.
 
Nchi hi Tanzania imeja fursa lukuki sema tu hatutaki kufikiria zaidi ya tunacho ona, maisha magumu nje ya Tz, labda kwa wale wasio thamini uhai wao, ndo wanao ona tofauti.
Sio wajinga wanaofanya hayo mambo maisha yana mengi sana.
Shukuru km unafanya mishe ya kueleweka shukuru sana.
 
Huyo dogo hajameza madawa kama polisi walivyoripoti isipokuwa,, waliingia kusachi kwenye mjengo wa huyo dogo wakamkuta na hela ndipo walipombana na kumuambia aonyeshe madawa yako wapi, walimvesha mfuko na kumuwekea maji kisha kumpiga sana mpaka kupelekea kifo chake na baada ya kujua kuwa wameua ndipo walipopanga njama ya kuwa eti kameza madawa,, hayo madawa unamezaje mda huo huo ufe apo apo,, kifupi polisi wameua na ndio sababu watu wamepatwa hasira na kuanzisha vurugu,, huyo dogo namfahamu vizuri tu,, na kuna jamaa mwingine aliyekuwa nae siku ya tukio nae nimempokea mwenyewe hapa dizonga, msipende kukandia na kukashifu vitu msivyovijua
Jamani, apumzike kwa amani
 
Hii umeitoa wapi? Hao wamalawi wanahangahishwa wapi?

Na haufatilii hata taarifa za habari mkuu, mwezi wa juzi ameuawa mmalawi alikuwa anaishi mwananyamala kama mpangaji ameuliwa na mtanzania na kesi haijaenda popote mkuu, nenda hata youtube katafute utaipata hiyo habari mkuu kama unaweza kulipia bundle nikutafutie hiyo habari nikutumie, umimi upo sehemu zote mkuu, usibishane
 
Kuna vijana wana jifanya wajuaji humu wakati hawjawai hata kuvuka mpaka mmoja wa nchi
Yaani wanatia hasira sana hawa kenge, yaani ubingwa wa kubwabwaja humu na kulia Lia na viajira uchwara, sasa wewe kama unaona kuuza drugs ni rahisi nenda na wewe ukauze kama hutakalia chupa, salute kwa watanzania wote wa joberg mliofanya push back dhidi ya police hao wauaji, salute Youville, kempton park, Mayfair na wote wa Hilbrow, now mjitahidi baharia huyu arudishwe nyumbani ili apumzishwe kwa familia yake
 
Alikuwa anajihusisha na madawa au hajihusishi? Issue siyo kukandia ima ukweli ni kuwa wabongo wengi waliozamia south wanaishia kuuza madawa na ukabaji.
Ndo mkishakula vitumbua vyenu vya spoku na maharage ya kidebe mnavyoongopeana hivyo, wabongo wote wauza madawa na wakaba south Africa si ndio,,, hivi nani anaeandamana na kufanya fujo kisa tu kumtetea muuza madawa,, dogo hauzi madawa na ndio maana watu wameandamana,,
 
Back
Top Bottom