Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

Any medical tour to uturuki inayohusu upasuaji hutopata kibali cha kusafiri UK. ila ukienda kimpango wako it's up to you. Usiropoke usiyoyajua. Unaishi wapi UK?

Unapotaka kusafiri kutoka UK kwenda Uturuki kuongeza makalio unamwomba nani kibali cha safari ya kuingia Uturuki, serikali ya UK au serikali ya Uturuki ?

Na unaposema hutapaka kibali unless unaenda "kimpango wako," ni kwa nini uombe kibali kama unaruhusiwa kwenda "kimpango wako" ??????
 
We wa wapi? Turkey sio England ni linchi la ajabu tu.
Mara3 sijaenda kufanyiwa surgery kwa ajili yao.
 
Safety is the first reason kama unaenda kwaajili ya matibabu popote pale.
Shughuli kama hizo uk utahitaji specialist cover. Kwa lolote litalotokea. Hivo, Wengi smart huomba vibali. 99%.
Na wengi huambiwa waende france.
I have a real example ya mtu wa karibu ninayemfahamu.
 
R.i.P Classmate.....😥
Tako lime fanya aibu kwenye msiba wako..🤣
Sijui kwenye mazishi yake watasemaje chanzo cha kifo cha marehemu.

Hivi kabla ya operation si huwa wanajua kuna uwezekano wa kufa kama mambo yataenda tofauti? Kama hilo lipo wazi wanapoenda waende na bajeti kubwa zaidi itakayomudu kusafirisha mwili endapo kama kifo kitatokea ili kuepusha usumbufu.
 
Jambo zuri sana hili,litawafunza wengi Wanawake wenye akili za pimbi kama huyo mjinga aliyekufa.
 
Ni ujinga wa hali ya juu, tuwafunze watoto wetu kujikubali na kujiamini
 
Sijui kama atakuwa na la kujibu mbele ya Mungu. Ajikaze tu na amwambie Mungu kuwa "nilikuwa narekebisha kazi yako".
 
Acha kujihesabia haki,ninyi watu mliopandikizwa hizi dini za wazungu na waarabu mnapenda sana kujiona ni wema na huyo mungu wenu kumbe ni ubatili tu,mungu wa biblia na Qur'an ni tafauti sana na Mungu halisi,endelea kujilisha upepo
Mungu halisi ni yupi mkuu???? ufafanuzi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…