Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

Unafunguaje kesi uchwara hivo unaacha kufungua kesi dhidi ya uuzwaji wa maliasili za Tanzania Kwa waarabu?.Huyu ni wakili uchwara kabisa na ni chawa na lengo lake ni kumchafua mzalendo wa wakati ule
Wewe ndio uchwara namba moja. Alipofungua kesi mwabukusi ulikuwa wapi? Kila mtu anafanya kwa nafasi yake. Kama wewe unaona Kuna rasilimali zinauzwa nenda mahakamani ukafungue kesi.

Ulivyo mnafiki, unajibanza JF kwa jina bandia ukisubiria wenye majina halisi wafanye mambo ili uwadhihaki. Punguza unafiki, unakuwa na hasira kwa raia mwenzako kutofungua kesi dhidi ya wanaouza rasilimali za nchi, ila wakati huo huo huyo wewe ni chawa wa anayeuza rasilimali za nchi. Saa zingine Kaa kimya Kama huna la kusema. Narudia Tena punguza unafiki.
 
Unafunguaje kesi uchwara hivo unaacha kufungua kesi dhidi ya uuzwaji wa maliasili za Tanzania Kwa waarabu?.Huyu ni wakili uchwara kabisa na ni chawa na lengo lake ni kumchafua mzalendo wa wakati ule
Ngazi kwa ngazi, wote wataburuzwa mahakamani tu
 
Ha ha ha haaaa
 
Mbona wakati wa aliyetowa hiyo amri hamjafunguwa kesi?

Unafik huo.
 
Serikali ni serikali hakuna Cha serikali ya wakati ule. Halafu unafiki upo wapi?. Kuna unafiki zaidi ya ule wa kuita Katiba ni kijitabu?.
Hapo sasa.Na huyo naye anastahili kushtakiwa kwa kutokuheshimu Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
 
Marekani mwaka huo pia kulikuwa na uchaguzi mkuu mbona mtandao haukuzimwa hata sekunde moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…