mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Tulia wewe mkenya hana kiswahili iliyonyooka
we ni mgeni na maandishi matatu nn 😀😀Umejuaje sio kwao, Una passport yake ya kusafiria ?
Wakija bongo wanaunga juhudi... haki gani anaidai huko Marekani huyo mhuni? Haki yake iko Afrika arudi kuidai sio kupayuka kwenye nchi za watu walizozijenga kwa akili, jasho, na damu.
kweli mwamba a.k.a jiwe anafahamu alipo,umeongea vyemaBen Saanane alipo anajua MWAMBA
Nakuunga mguu, historia iko wazi nchi ile ina mchanganyiko wa watu wenye asili mbalimbali kwann udai Waafrika hawajaijenga nchi ile.
Kama kila mtu arudi kwenye asili yake sawa wabaki pale Wahindi wekundu ambao watawaalika wahindi wenzao.
we ni mgeni na maandishi matatu nn 😀😀
kama ulichukua uraia huko kinashindikana nn kupokonywa yote yana wezekana bhana hilo taifa ni kubwa wakiamua lao hakufanya bwege yeyote atakayebisha wala kupinga kama walivyofanya kwa mkuu wa mkoa wa Dar.Kuna watanzania wengi tu huko walichukua uraia wa nchi nyingine , don't jump to conclusion
Kabisa aisee! Maana wakina makonda washapigwa marufuku kutimba pande hizoHuyu bila kupepesa macho ni bavicha...no offense!
Sawa mwalimu nimeelewa sitarudia tenaKilichonyooka..sio iliyo..