Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

Mtanzania ahamasisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili

Tulia wewe mkenya hana kiswahili iliyonyooka


Kwani watanzania wote wanaongea Kiswahili kilichonyooka? Kila mkoa una lafudhi yake, wacha ujinga we mtoto, huyu muandamanaji muhuni mbona ana lafudhi ya kijinga kama ya Kisukuma au Kiha?
 
Uzi kama huu ndio utajua kuwa kuna jamaa alitupia huu uzi yupo sahihi

Baadhi ya watu wenye uwezo mdogo wa kufikili wanapaswa kupuuzwa humu JamiiForums
...... sasa hapa mnabishana nini ......mtanzania ....mkenya .......mkongo ili iweje ........... pumba tupu
point niliyoipata mimi hapo ni kuwa kisawahili kimetumika basi ...... wapo hata wamarekani wa kuzaliwa wanaojua kiswahilii
 
Nashukuru mdau Khaligraph Jordan kwa dislike yako kweye post hapo juu kwani inaonyesha kuwa nakaribia kupata degree yangu ya Kishimba Effect

EZHLVQNWAAAJflu.jpg
 
Nlishasema humu mara nyingi kwamba sisi Watanganyika[ Wadanganyika], tungali katika Enzi za Giza[Dark ages]. hata tunayemzungumzia ni Mkenya ila twadai ni 'mdanganyika!
 
That is the BEAUTY of America despite it’s history in discrimination and racism BUT it is a mixture of so many people and cultures from all over the World.

Nakuunga mguu, historia iko wazi nchi ile ina mchanganyiko wa watu wenye asili mbalimbali kwann udai Waafrika hawajaijenga nchi ile.

Kama kila mtu arudi kwenye asili yake sawa wabaki pale Wahindi wekundu ambao watawaalika wahindi wenzao.
 
Kuna clip moja inaonesha msudani kusini amekaa sehemu wakaja polisi kumzingua jamaa anawambia mi Sina makosa wanataka kumchukua kinguvu wakamtia pingu kumsachi wakatoa kitambulisho kumbe jamaa FBI polisi waliona noma wakamfungua faster
 
Kuna watanzania wengi tu huko walichukua uraia wa nchi nyingine , don't jump to conclusion
kama ulichukua uraia huko kinashindikana nn kupokonywa yote yana wezekana bhana hilo taifa ni kubwa wakiamua lao hakufanya bwege yeyote atakayebisha wala kupinga kama walivyofanya kwa mkuu wa mkoa wa Dar.
 
kwabahati mbaya duniani kote watu wenye akili timamu na uwezo mkubwa wa kifikra hawataki kuongoza.........kinyume chake pia nisahihi zaidi
 
Tatizo ni mtu unapoleta mjadala ulioeenda shule
hapo ndio unajua JF imejaa member "mazwazwa"
Kweli SAFARI ni elimu kuliko hata digirii za bongo
 
Huyo nae mtaka sifa tu...akinyukwa na mabeberu ama kuuawa mseme kaonewa...na wale vibaka walioingia madukani kuiba kama mimi ni Trump ningetoa amri wakamatwe na wachapwe viboko mpaka akili ziwakae sawa...wametudhalilisha sana.
 
Back
Top Bottom