TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

TANZIA Mtanzania aliyekuwa anaishi Texas, Marekani afariki kwa ajali ya gari

Ni maneno tu ya watu walio hai wana amini watu wakifa huko walipo regardless ni ardhini au wapi ni pema.
Perfect, kumbe unaamini hivo kwa kuwa ni watu huamini hivyo ,
Basi hata mbinguni watu huamini hivo na wewe amini kuwa hivyo kwa kuwa watu huamini hivo.
 
Perfect, kumbe unaamini hivo kwa kuwa ni watu huamini hivyo ,
Basi hata mbinguni watu huamini hivo na wewe amini kuwa hivyo kwa kuwa watu huamini hivo.
Kwanza thibitisha uwepo wa huko mbinguni.

Tutajuaje na kuhakikishaje huko mbinguni kupo kweli?
 
Kwanza thibitisha uwepo wa huko mbinguni.

Tutajuaje na kuhakikishaje huko mbinguni kupo kweli?
Mkuu,dini ni imani na matendo,

Imani kwa tafsiri ya haraka haraka ni kuamini jambo,kuamini maana yake unakua na hope kua jambo lile lipo japo inakua ngumu kulithibitisha,

So,dini ni imani,ndio maana hua nasema,kila mtu aamini anachokiamini,hakuna haja ya malumbano,anayeamini Mungu yupo aamini,na asiyetaka kuamini kua Mungu yupo,nae aendelee kuamini kua Mungu hayupo,
Mjadala wa aina hii kamwe hauwezi kua na hitimisho,ndio maana hii issue imekua ikijadiliwa humu for so long.
 
Kwanza thibitisha uwepo wa huko mbinguni.

Tutajuaje na kuhakikishaje huko mbinguni kupo kweli?
Sijaja hapa kuthibitisha uwepo wa mbinguni Bali umesema udongoni ni kuzuri vile ni maneno ya watu huamin hivyo na wewe ndo maana ukaamini hivyo, ndo maana nkakuuliza hata mbinguni watu hua mini hivo, sasa wewe unaniambia nithibitishe,. Kivipi mzee
 
R.I.E.P Prosper Kiswaga.

Wamegongwa na gari ingine, dereva aliacha upande wake akawagonga. Yeye hakuwa amekunywa bali bia moja, wenzake walisema kunywa hata moja. Hakutaka kunywa pombe kabisa usiku huo.

Mkewe yupo ICU anaitwa Pendo
Alicheza mziki sana na mwanae binti aliyeolewa tayari, alimzaa na Mama ake anaishi Tanzania.

Walikuwa wanatoka kwenye first oldies muziki pati, muandaaji alianza kuzifanya ikawa ya kwanza. Alicheza sana mziki na binti yake Mrs wa mtu, ambaye alimzaa na mwenza anaishi Bongo.

Polisi wanajua yote naeneo, baada ya ajali walienda kwenye pati na kuwa pa taarifa kuna kama wenzao amepata ajali, hivyo wakawaomba wachache waende nao. Na, ndio ikawa hivyo..

Mkewe ana watoto kabla yao, nao wana wawili pamoja.

Inasikitisha, maombi kwa mke wake.
 
Mkuu,dini ni imani na matendo,

Imani kwa tafsiri ya haraka haraka ni kuamini jambo,kuamini maana yake unakua na hope kua jambo lile lipo japo inakua ngumu kulithibitisha,

So,dini ni imani,ndio maana hua nasema,kila mtu aamini anachokiamini,hakuna haja ya malumbano,anayeamini Mungu yupo aamini,na asiyetaka kuamini kua Mungu yupo,nae aendelee kuamini kua Mungu hayupo,
Mjadala wa aina hii kamwe hauwezi kua na hitimisho,ndio maana hii issue imekua ikijadiliwa humu for so long.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho.

Kwanza kama kitu kipo, Huitaji imani ya kuamini.

Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake na kuamini.

Kila mtu angejua kwa uhakika na uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu yupo.

Wala si imani.
 
Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake na kuamini.
Kwa kutumia hilo tamko lako basi ni sawa pia kusema Mungu asingekuwepo wala kusingekua na haja ya kuhoji uwepo wake,wala hilo jina la Mungu lisingekuwepo kabisa,

Amini unachokiamini na wengine waache waamini wanachokiamini,Simple tu.
 
R.I.E.P Prosper Kiswaga.

Wamegongwa na gari ingine, dereva aliacha upande wake akawagonga. Yeye hakua amekunywa bali bia moja, wenzake walisema kunywa hata moja.
Kwa comment hii,neno lako la kusema kua hakua amekunywa linakosa uhalali,ila ukweli ni kwamba alikua amekunywa,

Au mimi ndio sijui tafsiri ya kunywa watu wangu wa huko Daslamu mnasemaje?
 
Back
Top Bottom