Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Me nilijua tu sio bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa, kwa hiyo alipelekwa gaza auJe, unaelewa maana ya Mafunzo kwa Vitendo?
HaswaNimekwambia raia wa nchi moja akitaka kujiunga au kufanya kazi na jeshi la nchi nyingine lazima apate ruhusa ya nchi yake tofauti na hapo ni uhaini
Ukisoma chuo cha kilimo sehemu fulani huwezi kupelekwa mahala pengine kujifunza kwa vitendo? Lakini nani alikwambia hao vijana walipelekwa chuoni, hasa hicho chuo unachokisema? Tanzania yenyewe tunayo SUA na vyuo vingine vidogo vidogo vya kilimo kama vile Ukirigulu, Ilonga nk, unataka kutuambia Israel inacho chuo kimoja tu cha kilimo?Hebu twende taratibu kama wameenda kusomea kilimo
Chuo cha kilimo ni Arava International Center for Agricultural Training AICAT
kipo mbali sana na Gaza
Kipo karibu sana na Dead Sea
Ukiangalia Romani hapo utaona umbali kutoka Gaza mpaka Eilat ni mbali sana
Swali je aliuliwa au kutekwa akiwa wapi?
Nisaidieni hapo na ushabiki weka pembeni hakuna kufoka bali facts tu View attachment 2848000
Hapana sina maana hiyo ila Vyuo vipo vingi ila hicho ni InternationalUkisoma chuo cha kilimo sehemu fulani huwezi kupelekwa mahala pengine kujifunza kwa vitendo? Lakini nani alikwambia hao vijana walipelekwa chuoni, hasa hicho chuo unachokisema? Tanzania yenyewe tunayo SUA na vyuo vingine vidogo vidogo vya kilimo kama vile Ukirigulu, Ilonga nk, unataka kutuambia Israel inacho chuo kimoja tu cha kilimo?
Siyo kweli, it depends.Nimekwambia raia wa nchi moja akitaka kujiunga au kufanya kazi na jeshi la nchi nyingine lazima apate ruhusa ya nchi yake tofauti na hapo ni uhaini
Hao Wagner wapiganaji wao ndo wafungwaPia aliajiliwa na Wagner PMC sio Jeshi la Urusi. Ni sawa huku mtu aajiliwe kutokea gerezani akawa mpiganaji wa SALLU Security Guards.
Sawa kabisa, lakini mtu akiamua kukaidi na kwenda kujiunga na jeshi la nchi nyingine kinyemela, wakumlaumu ni Nani, mtu mwenyewe au serikali? Kuna vijana walijiunga na El Shabab lakini hatukuilaumu serikali, na bado juzijuzi kuna mwingine aliuawa akipigana upande wa majeshi ya Urusi uko Ukraine. Yawezekana wapo vijana wengi ktk majeshi ya nchi za kigeni lakini serikali haijuhi. Si busara kuipa serikali lawama kwa jambo tusilokuwa na uhakika nalo. Kutuletea clip za watu wenye asili ya Africa kwenye Kombat za majeshi ya Israel hakuwezi kututhibishia kuwa hao ni Watanzania.Ndio nakufundisha raia wa nchi moja haruhusiwi kujiunga na jeshi lingine ni kosa kisheria na ni uhaini, unless uwe raia wa hiyo nchi husika hata southafrica imewaonya raia wake kuhusu hilo na kuwaambia atakayejiunga na idf akirudi anashtakiwa, israel ina recruit wanajeshi sasahivi na dunia imeshajua nchi nyingi imeonya raia wake kuhusu hilo
Unapoenda kufanya kazi kama hiyo nchi yako inatakiwa ifahamu na ikuruhusu
Kwenye hizo picha hawafanani tazameni vizuri.
Hatar sana !
Raia wengi wa Urusi hawataki kupigana katika vita vya Putin, na pia strategy kubwa ya Urusi katika vita vyake siku zote imekuwa kutumia wanajeshi kama Cannon fodder.Ukraine ina population ya raia 45mln na Urusi ana population ya raia 145mln na bado Mtanzania alichukuliwa jeshini akapigane akiwa na Urusi yenye lukuki la wanajeshi.
Israel population yake ni 9mln na robo ya raia wake wakiwa nje ya Israel,ina Lundo la askari wenye asili ya Afrika kwa kazi maalumu.
Huu Uzi utawapata watu wajinga wajinga mnaofanana akili ila kwa mtu mwerevu atakuona Umeandika upumbavu tu hapa.Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni.
Katika clip husika,wauaji mwanzoni walionekana wakimhoji kwa gadhabu Mtanzania huyo na baadae aliuawa kikatili na sehemu yake ya nguo ya ndani (boxer) ilionekana ikiwa rangi ya kijeshi,well tufanye nguo tu.
View attachment 2847773
Gazeti moja wapo maarufu huko Israel limeripoti kua Watanzania ni miongoni mwa waafrika wanaoingizwa jeshini na kupewa mafunzo wakasaidie jeshi la Israel.
View attachment 2847770
Hali ya Waafrika kuingizwa kwenye jeshi la Israel nimeona hata South Africa ikionya raia wake na kua itawavua uraia kwani haiungi mkono matendo hayo.
View attachment 2847772
Watanzania wangapi wanakumbuka mwanzoni mwa vita ya Urusi na Ukraine kuliripotiwa Mtanzania mwanafunzi ameuawa na Ukraine kwenye mapigano?!!
Taarifa zilitoka kweli alikua Mtanzania na mwili uliletwa,je watu walihamaki kama hivi sasa?!! Hakua Mtanzania?!! Kwa nini sasa hivi watu wamehamaki sana?!!
Mtanzania alieuawa na wanajeshi wa Ukraine akiwa kwenye jeshi la Urusi alikua mkristo na mwenyeji wa Moshi pia kama huyu wa sasa wa Israel,,kwa nini watu hawakuahamaki?!! Ama kwa vile huyu ameuawa na HAMASI na alikua upande wa Israel?!
View attachment 2847884View attachment 2847793View attachment 2847794View attachment 2847795
Tazama vizuri picha zifuatazo,je ni yeye ama sio yeye?!! Je alieuliwa vitani Ukraine akiwa na Urusi na huyu wa sasa kuna tofauti gani?!! Kwa nini kwa sasa hamaki ni kubwa na chuki baina yetu Watanzania?! Alieuawa Urusi serikali ilisema kwa nini alikua na jeshi la Urusi baadala ya kusema tu mwanafunzi?!! Huyu wa sasa serikali imetoa taarifa zaidi kwa nini aliangukia maeneo ya mpakani na HAMASI hadi akatekwa?!! Hamaki na kulaani ni kwingi kwakua huyu Molel ameuawa na HAMAS ambao ni kikundi cha kiislamu huku Molel akiwa sehemu ya Israel (Taifa teule?) Ili hali mwanafunzi ambae aliuawa Ukraine akiwa na jeshi la Urusi watu hawakuahamaki kwa kua ilikua mauaji baina ya wakrsito kwa wakrsito?!!
Wizara ya mambo ya nje,imetoa tamko lolote la kuwataka Watanzia wanafunzi waliopo Israel kuondoka ama taarifa za kifo tu zinatosha?!!
Ikiwa Israel inalipa mamilioni ya hela kwa waafrika ili wakafanye kazi kwenye mashamba je haiwezi kulipa mamilioni ya hela watumikie jeshi?!!
NB- video ambayo anahojiwa baada ya kukamatwa ipo. Mtu anaweza kuitazama na kutafsiri mazungumzo yao kabla hajauawa,moja ya nukuu ya mtu alieiona.
View attachment 2847814
Nendeni tena si mumesema mnaenda Mashambani kulima?Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni.

Hujui mambo yalivyo huko Israel, na wala hakuna haja ya kutumia nguvu sana kukuelewesha. Siku hizi teknolojia imekuwa, ukweli utafahamika tu. Na kwa taarifa yako Mwili wa marehemu upo, umehifadhiwa na waisrael, bado hawajui wautowe vipi. Maelezo ya awali waliyoyatoa hayawaridhishi wenyewe, ndugu wa marehemu wala sisi watanzania, ndio maana wanasubiri moto upoe.Israel haina shida ya wanajeshi,
Ina wanajeshi active 169,500 na wa akiba 465,000.
Sio ya Haki? Nani alimwambia akatumikishwe Jeshini Kwa mgongo wa Mafunzo ya Kilimo?Kwani Tz watu hawauawi??
Tunapinga ni kwa sababu mauaji hayo siyo ya haki. Hata kama yangetokea Tz, lazima pia tungeyapinga.
"Injustice somewhere is the threat to Justice everywhere."
Martin Luther King Jr.
Wewe unadhani Hamas wanaangalia dini ya mtu linapokuja suala la kupigania uhuru wao?Wanatoa hizo hoja ili kufuta harufu ya udini ulionyeshwa kwa vijana wetu kuuwawa na magaidi ya hamas
Hamas ni wapuuzi fulani hivi tena hawana akili kabisa.Wewe ni mpumbavu hujui chochote,kama unaamini ni hivyo nenda Israel ukafanye kazi shambani.
Kwa taarifa Yako tuu kinachoitwa masomo ni zaidi ya masomo na inawezekana Israel Inatoa masharti ya kufundisha Hawa Askari Wetu Kwa kuwatumikisha Jeshini kama sehemu ya kozi.
Hata yule aliyefariki Russia ni hivyo hivyo.
Ngoja Hammas wawanyooshe.