Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

Kwa sisi wasomi wa fani mbalimbali, hata mishe za kawaida mitaani tu huwa tunaingia field kupata ujuzi na uzoefu kazini. Sasa kama kuna fursa zipo sehemu fulani duniani kwa nini tusipeleke wanafunzi wetu wakapate ujuzi na uzoefu huko? Kwanza kuna umuhimu wa kupeleka wanajeshi wetu kwenye operation mbalimbali duniani wakapate mbinu za kimedani kuja kuimarisha jeshi letu iwe wazi au kwa siri, peleka hata kwenye vikundi vya kigaidi huko nje ndio mafunzo yenyewe hayo
Watetezi wa Hamas wanasumbuliwa na tatizo la itikadi za Udini na Misimamo mikali na potofu ya kidini(extremism or radicalism) bila kujali uhalisia wa mambo, they don't have a free minds.
Ukweli ni kwamba Wa-Israel ni miongoni mwa watu wenye akili nyingi sana hapa duniani, pia ni watu mahiri sana kwenye Masuala ya Medani za Kijeshi na hata kwenye Masuala ya UJASUSI. Mamlaka yao ya Ujasusi (Mossad) ni miongoni mwa taasisi bora zaidi za Ujasusi hapa duniani, hili halina ubishi. Sasa kwa nini mataifa mengine yasipeleke watu wao huko Israel ili nao wapate ujuzi na utaalamu kutoka kwao?
 
Wanatoa hizo hoja ili kufuta harufu ya udini ulionyeshwa kwa vijana wetu kuuwawa na magaidi ya hamas
 
Hawafanani hata kidogo mollel ana sura ndefu ya box huyo mwanajeshi ana sura ya mviringo !!! HAWAFANANI...!!
Yaani hii vita imejaa propaganda tupu, ngoja tuone Netanyahu akitengeneza buffer zone pale Gaza......huenda wapalestina wakalazimika kuhamia Misri.
 
Yaani hii vita imejaa propaganda tupu, ngoja tuone Netanyahu akitengeneza buffer zone pale Gaza......huenda wapalestina wakalazimika kuhamia Misri.
Hata Utawala wa Misri wenyewe wameshakataa kwamba hawatawapokea Wapalestina kwenye nchi yao, wanaogopa vita hiyo isije ikahamia ktk Rasi ya Sinai huko Misri badala ya kupiganwa ndani ya ardhi ya Palestina.
 
Israel haina shida ya wanajeshi,
Ina wanajeshi active 169,500 na wa akiba 465,000.
Magaidi yanajaribu kupotosha ukweli, huyu alikuwa ni mwanafunzi wa kilimo kwenye mashamba ambayo yalikuwa jirani na mpaka /Gaza.
#stop_misled_the_reality!
 
Yule alipewa visa kuwa anaenda kusomea kilimo ila tamaa ya pesa ikamfanya akaingia jeshini na kauwa raia wengi sana huko Gaza.Ila mihemko ya wabongo utadhani wanachambua mpira hawataki kutafuta ukweli
Tuhuma kama hizi zinahitaji ushahidi kabla ya kuhitimisha
 
Hilo la mwanafunzi aliyekuwa Urusi ni tofauti na hili la Israel.

Urusi yule mwanafunzi alikuwa kifungoni,alifungwa jela na Urusi wana utaratibu wa kupeleka wafungwa frontline kwenye vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia aliajiliwa na Wagner PMC sio Jeshi la Urusi. Ni sawa huku mtu aajiliwe kutokea gerezani akawa mpiganaji wa SALLU Security Guards.
 
Pole yako sana wewe mtu, hii inathibitisha ni kiasi gani ulivyo mjinga na zumbukuku. Hivi unafikiri Wanajeshi wa Tanzania waliopo kwenye vitengo mbalimbali vya ulinzi kama vile Usimamizi wa Rada za Kijeshi, Opereta wa Ndege na Meli za Kijeshi pamoja na Waendeshaji au Wahandisi wa Mitambo mbalimbali ya kijeshi kama vile Vifaru, Mafunzo yao ya kijeshi kuhusu vifaa hivyo wote wamesomea hapa Tanzania? Je, hapa Tanzania tuna viwanda vya kutengeneza au kuunda vifaa vya kijeshi kama vile Vifaru, Meli, Ndege au Rada za Kijeshi?
Kwahiyo ukienda kujifunza kilimo unaruhusiwa kujiunga na jeshi? Unajua hilo kosa ni treason kwa mwananchi kujiunga na jeshi la nchi nyingine?
 
Hiyo article ukiangalia footage ya wanajeshi wetu kuwa trained Israel ni ya May 4 ,2019 sasa uhusiano wa huyu kijana ameenda mwezi mmoja tu na amekuwa drafted hadi kupewa gwanda kwa kozi ya nchi ya nje , halafu inayochukua zaidi ya miezi 3 itawezekanaje?
Upo sahihi, hii habari inapikwa ili kuhalalisha mauaji ya Joshua.
 
Kwahiyo ukienda kujifunza kilimo unaruhusiwa kujiunga na jeshi? Unajua hilo kosa ni treason kwa mwananchi kujiunga na jeshi la nchi nyingine?
Kwa namna gani?
Mbona wapo wa-Tanzania wengi tu ambao wamejiunga na Majeshi ya Nchi zingine huko nje?
Aidha, zipo baadhi ya nchi zinatangaza nafasi za kujiunga na Majeshi ya nchi zao kwa raia wa kigeni, tena wametengewa nafasi zao maalumu ambazo raia wazawa hawaruhusiwi ku-apply. Je, wewe unasemaje kuhusu suala hili? Hii ni dunia ya Utandawazi, hatuko kwenye zama za Ujima!
 
Ndio nakufundisha raia wa nchi moja haruhusiwi kujiunga na jeshi lingine ni kosa kisheria na ni uhaini, unless uwe raia wa hiyo nchi husika hata southafrica imewaonya raia wake kuhusu hilo na kuwaambia atakayejiunga na idf akirudi anashtakiwa, israel ina recruit wanajeshi sasahivi na dunia imeshajua nchi nyingi imeonya raia wake kuhusu hilo
Unapoenda kufanya kazi kama hiyo nchi yako inatakiwa ifahamu na ikuruhusu
 
Inashangaza sana wajibga wanavyojitahidi kuficha ukweli wa wa kile mashetani walichomfanyia yule mtanzania.

Wanahangaika kuja na kila aina ya propaganda ilimradi kuficha unyama wa ndugu zao katika imani, ajabu keho hawa watu utawasikia wakisema wanadai haki!.

Kumbe hizi haki wanazohangaika kuzidai hapa nchini klhuwa ni haki za kinafiki tu, kwasababu yule wanayemdai hawana maslahi nae, lakini akitokea ndugu yao akamnyima haki mwingine wananyamaza kimya, unafiki wa ajabu sana huu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu, inashangaza sana watu kupika taarifa kuhalalisha ule unyama kwa hisia za kiimani.
 
Hebu twende taratibu kama wameenda kusomea kilimo
Chuo cha kilimo ni Arava International Center for Agricultural Training AICAT
kipo mbali sana na Gaza
Kipo karibu sana na Dead Sea
Ukiangalia Romani hapo utaona umbali kutoka Gaza mpaka Eilat ni mbali sana
Swali je aliuliwa au kutekwa akiwa wapi?
Nisaidieni hapo na ushabiki weka pembeni hakuna kufoka bali facts tu
Screenshot_20231220_092343_Maps~2.png
 
Ndio nakufundisha raia wa nchi moja haruhusiwi kujiunga na jeshi lingine ni kosa kisheria na ni uhaini, unless uwe raia wa hiyo nchi husika hata southafrica imewaonya raia wake kuhusu hilo na kuwaambia atakayejiunga na idf akirudi anashtakiwa, israel ina recruit wanajeshi sasahivi na dunia imeshajua nchi nyingi imeonya raia wake kuhusu hilo
Raia wengi na Wanajeshi wao wengi wa nchi ya South Africa walijiunga na Majeshi ya Nchi zingine nyingi nje ya nchi hiyo ikiiwamo na JWTZ ili kupata mafunzo ya kijeshi. Kampasi ya SUA ya Solomon Mahlangu iliyopo Mazimbu kule Morogoro ndio ilikuwa Kambi Kubwa zaidi ya Kijeshi iliyokuwa ikitoa Mafunzo ya Kijeshi kwa Raia wa Afrika ya Kusini, Je, wewe unasemaje kuhusu hili?? Wote wale raia wa SA waliokuwepo kule Mazimbu ni Wahaini??
 
Hebu twende taratibu kama wameenda kusomea kilimo
Chuo cha kilimo ni Arava International Center for Agricultural Training AICAT
kipo mbali sana na Gaza
Kipo karibu sana na Dead Sea
Ukiangalia Romani hapo utaona umbali kutoka Gaza mpaka Eilat ni mbali sana
Swali je aliuliwa au kutekwa akiwa wapi?
Nisaidieni hapo na ushabiki weka pembeni hakuna kufoka bali facts tu View attachment 2848000
Je, unaelewa maana ya Mafunzo kwa Vitendo?
 
Raia wengi na Wanajeshi wao wengi wa South Africa walijiunga na Majeshi ya Nchi zingine nyingi nje ya nchi hiyo ikiiwamo na JWTZ ili kupata mafunzo ya kijeshi. Kampasi ya SUA ya Solomon Mahlangu iliyopo Mazimbu kule Morogoro ndio ilikuwa Kambi Kubwa zaidi ya Kijeshi iliyokuwa ikitoa Mafunzo ya Kijeshi kwa Raia wa Afrika ya Kusini, Je, wewe unasemaje kuhusu hili?? Wote wale raia wa SA waliokuwepo kule Mazimbu ni Wahaini??
Nimekwambia raia wa nchi moja akitaka kujiunga au kufanya kazi na jeshi la nchi nyingine lazima apate ruhusa ya nchi yake tofauti na hapo ni uhaini
 
Back
Top Bottom