John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Watetezi wa Hamas wanasumbuliwa na tatizo la itikadi za Udini na Misimamo mikali na potofu ya kidini(extremism or radicalism) bila kujali uhalisia wa mambo, they don't have a free minds.Kwa sisi wasomi wa fani mbalimbali, hata mishe za kawaida mitaani tu huwa tunaingia field kupata ujuzi na uzoefu kazini. Sasa kama kuna fursa zipo sehemu fulani duniani kwa nini tusipeleke wanafunzi wetu wakapate ujuzi na uzoefu huko? Kwanza kuna umuhimu wa kupeleka wanajeshi wetu kwenye operation mbalimbali duniani wakapate mbinu za kimedani kuja kuimarisha jeshi letu iwe wazi au kwa siri, peleka hata kwenye vikundi vya kigaidi huko nje ndio mafunzo yenyewe hayo
Ukweli ni kwamba Wa-Israel ni miongoni mwa watu wenye akili nyingi sana hapa duniani, pia ni watu mahiri sana kwenye Masuala ya Medani za Kijeshi na hata kwenye Masuala ya UJASUSI. Mamlaka yao ya Ujasusi (Mossad) ni miongoni mwa taasisi bora zaidi za Ujasusi hapa duniani, hili halina ubishi. Sasa kwa nini mataifa mengine yasipeleke watu wao huko Israel ili nao wapate ujuzi na utaalamu kutoka kwao?