Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri sababu ni "War Propagandas" zinazofanywa na wafuasi wa kundi la kigaidi la Hamas ili kujaribu kuhalalisha uovu wao waliofanya huko Israel. Nothing more nothing less!swali langu ni rahisi sana, waliouwawa kwenye mashambulizi ya Hamas ndani ya Israel ni wengi sana, kwanini hili la mtanzania ndio linaonekana kubwa na kusambaa mno?
Hata kama hakuwa na silaha yoyote ukikamatwa kwenye battlefield ukiwa na nguo za kiraia wewe ni jasusi na jasusi hukumu yake ni kuuawa. Yule angekuwa askari halisi wa Israel asingeuawa bali wangemchukua mateka.Je, kwenye zile video wewe umeona yule Mtanzania alikuwa ameshika silaha yoyote ya Moto mikononi mwake na alikuwa anapambana na Wagamgambo wa Hamas? Je, umeona video ya namna hii??
Hata kama alikuwa Mwanajeshi au alikuwa yuko huko kwa ajili ya Kujifunza Mafunzo ya Kijeshi, bado hakustahili kuuawa na wale Wanamgambo wa Hamas, kwa sababu wakati walipomkamata mtu huyo hakuwa na silaha yoyote ya moto au kupambana na Wanamgambo wa Hamas, Sheria za Vita kote duniani zinakataza kuua raia wasio na silaha au kuua Wanajeshi ambao wamejisalimisha kwa majeshi pinzani kwenye maeneo yenye mapigano ya vita.
Nimeeleza kwa kukumbushia sababu ya yeye kukutwa na umauti uwanja wa vita na ilielezwa .Hata Tarimo watu walijua yupo Urusi kama mwanafunzi lakini alipouawa kule Bakhmut ndipo ukweli ulipodhihiri kuwa alikuwa akipigana upande wa Urusi.
Wagner ni professional soldiers na wanapigana upande wa Urusi. Pia, wapiganaji wake wapo huru kujiunga na jeshi la Urusi wakitaka. Kwahiyo, Tarimo alikuwa anapigana chini ya bendera ya Urusi na alikuwa mwanajeshi wao umauti ulipomkuta.Nimeeleza kwa kukumbushia sababu ya yeye kukutwa na umauti uwanja wa vita na ilielezwa .
Pia Tarimo alikuwa mwanafunzi kweli na sio mwanajeshi
Baada ya kwenda kusoma alipatakana hatiani na kuwekwa gerezani
Ipo option ya wafungwa kuachiwa kwa baadhi ya nchi kama wakiamua kuingia vitani na yeye ndii alichagua na pia hakuwa jeshi la urusi bali wale huitwa mercenaries wa Wagner group .
Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni.
Katika clip husika,wauaji mwanzoni walionekana wakimhoji kwa gadhabu Mtanzania huyo na baadae aliuawa kikatili na sehemu yake ya nguo ya ndani (boxer) ilionekana ikiwa rangi ya kijeshi,well tufanye nguo tu.
View attachment 2847773
Gazeti moja wapo maarufu huko Israel limeripoti kua Watanzania ni miongoni mwa waafrika wanaoingizwa jeshini na kupewa mafunzo wakasaidie jeshi la Israel.
View attachment 2847770
Hali ya Waafrika kuingizwa kwenye jeshi la Israel nimeona hata South Africa ikionya raia wake na kua itawavua uraia kwani haiungi mkono matendo hayo.
View attachment 2847772
Watanzania wangapi wanakumbuka mwanzoni mwa vita ya Urusi na Ukraine kuliripotiwa Mtanzania mwanafunzi ameuawa na Ukraine kwenye mapigano?!!
Taarifa zilitoka kweli alikua Mtanzania na mwili uliletwa,je watu walihamaki kama hivi sasa?!! Hakua Mtanzania?!! Kwa nini sasa hivi watu wamehamaki sana?!!
Mtanzania alieuawa na wanajeshi wa Ukraine akiwa kwenye jeshi la Urusi alikua mkristo na mwenyeji wa Moshi pia kama huyu wa sasa wa Israel,,kwa nini watu hawakuahamaki?!! Ama kwa vile huyu ameuawa na HAMASI na alikua upande wa Israel?!
View attachment 2847793View attachment 2847794View attachment 2847795
Tazama vizuri picha zifuatazo,je ni yeye ama sio yeye?!! Je alieuliwa vitani Ukraine akiwa na Urusi na huyu wa sasa kuna tofauti gani?!! Kwa nini kwa sasa hamaki ni kubwa na chuki baina yetu Watanzania?! Alieuawa Urusi serikali ilisema kwa nini alikua na jeshi la Urusi baadala ya kusema tu mwanafunzi?!! Huyu wa sasa serikali imetoa taarifa zaidi kwa nini aliangukia maeneo ya mpakani na HAMASI hadi akatekwa?!! Hamaki na kulaani ni kwingi kwakua huyu Molel ameuawa na HAMAS ambao ni kikundi cha kiislamu huku Molel akiwa sehemu ya Israel (Taifa teule?) Ili hali mwanafunzi ambae aliuawa Ukraine akiwa na jeshi la Urusi watu hawakuahamaki kwa kua ilikua mauaji baina ya wakrsito kwa wakrsito?!!
Wizara ya mambo ya nje,imetoa tamko lolote la kuwataka Watanzia wanafunzi waliopo Israel kuondoka ama taarifa za kifo tu zinatosha?!!
Ikiwa Israel inalipa mamilioni ya hela kwa waafrika ili wakafanye kazi kwenye mashamba je haiwezi kulipa mamilioni ya hela watumikie jeshi?!!
NB- video ambayo anahojiwa baada ya kukamatwa ipo. Mtu anaweza kuitazama na kutafsiri mazungumzo yao kabla hajauawa,moja ya nukuu ya mtu alieiona.
View attachment 2847814
Ebu acheni upotoshaji hizo picha sio Joshua Mollel......ni editedKumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni.

Hakuna mahali nimesema alipigana upande wa Ukraine au Wagner ni mercenaries wa Ukraine.Wagner ni professional soldiers na wanapigana upande wa Urusi. Pia, wapiganaji wake wapo huru kujiunga na jeshi la Urusi wakitaka. Kwahiyo, Tarimo alikuwa anapigana chini ya bendera ya Urusi na alikuwa mwanajeshi wao umauti ulipomkuta.
Eti "Utadhani wanachambua mpira"Hii kitu inafichwa fichwa sijuwi Kwa maslahi ya nani.Kwa sababu kwenye video wale Hama wanamuhoji kuwa we Sio Muyahudi Kwa nini umekuja kuuwa ndugu zetu??Hebu tueleze ukweli .Yule alipewa visa kuwa anaenda kusomea kilimo ila tamaa ya pesa ikamfanya akaingia jeshini na kauwa raia wengi sana huko Gaza.Ila mihemko ya wabongo utadhani wanachambua mpira hawataki kutafuta ukweli.
Mwanzoni nilijiuliza kwanini watu wameshindwa kufanya utambuzi rahisi wa kwanza kabisa.Ebu acheni upotoshaji hizo picha sio Joshua Mollel......ni edited
Angalia sura ilivyopachikwa na anaonekana kabisa ni mtu mwenye uso mpana na wakati kijana wa Kimasai alikuwa na uso wa kawaida tu
Mkono unaoonekana hapo ni wa mtu mweupe yaani Mzungu na wakati kijana alikuwa ni mweusi.....kwahiyo,Acheni ujinga,yani kijana wetu kauwawa na Waarabu halafu sisi tunashangilia na tunaungana na Waarabu ku-edit picha??
Je,kama angekuwa ndugu yako ungejisikiaje??
View attachment 2847846
Nafikiri sababu ni "War Propagandas" zinazofanywa na wafuasi wa kundi la kigaidi la Hamas ili kujaribu kuhalalisha uovu wao waliofanya huko Israel. Nothing more nothing less!
Kuku wewe. Vile vita wanaviogopa. Kama huamini piga simu waambie unataka uje kuwasaidia ktk vita uone kama hutoletewa ndege ya kukodi uwahi mstari wa mbeleIsrael haina shida ya wanajeshi,
Ina wanajeshi active 169,500 na wa akiba 465,000.
Dogo nakuchukia. Yani tukikutana naweza kukupiga vibaya sana.Mkuu tuendelee kusubiri kila kitu kitawekwa wazi na muda. Uzuri ulimwengu wa sasa information zipo nje nje ni mtu ku dig tu nakupata ukweli.
www.nbn.org.il
Wabongo hasa vijana wa Allah wana akili za kushikiwaMwanzoni nilijiuliza kwanini watu wameshindwa kufanya utambuzi rahisi wa kwanza kabisa.
Kwa hilo Hamas wako sawa kabisa 100%Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni.
Katika clip husika,wauaji mwanzoni walionekana wakimhoji kwa gadhabu Mtanzania huyo na baadae aliuawa kikatili na sehemu yake ya nguo ya ndani (boxer) ilionekana ikiwa rangi ya kijeshi,well tufanye nguo tu.
View attachment 2847773
Gazeti moja wapo maarufu huko Israel limeripoti kua Watanzania ni miongoni mwa waafrika wanaoingizwa jeshini na kupewa mafunzo wakasaidie jeshi la Israel.
View attachment 2847770
Hali ya Waafrika kuingizwa kwenye jeshi la Israel nimeona hata South Africa ikionya raia wake na kua itawavua uraia kwani haiungi mkono matendo hayo.
View attachment 2847772
Watanzania wangapi wanakumbuka mwanzoni mwa vita ya Urusi na Ukraine kuliripotiwa Mtanzania mwanafunzi ameuawa na Ukraine kwenye mapigano?!!
Taarifa zilitoka kweli alikua Mtanzania na mwili uliletwa,je watu walihamaki kama hivi sasa?!! Hakua Mtanzania?!! Kwa nini sasa hivi watu wamehamaki sana?!!
Mtanzania alieuawa na wanajeshi wa Ukraine akiwa kwenye jeshi la Urusi alikua mkristo na mwenyeji wa Moshi pia kama huyu wa sasa wa Israel,,kwa nini watu hawakuahamaki?!! Ama kwa vile huyu ameuawa na HAMASI na alikua upande wa Israel?!
View attachment 2847793View attachment 2847794View attachment 2847795
Tazama vizuri picha zifuatazo,je ni yeye ama sio yeye?!! Je alieuliwa vitani Ukraine akiwa na Urusi na huyu wa sasa kuna tofauti gani?!! Kwa nini kwa sasa hamaki ni kubwa na chuki baina yetu Watanzania?! Alieuawa Urusi serikali ilisema kwa nini alikua na jeshi la Urusi baadala ya kusema tu mwanafunzi?!! Huyu wa sasa serikali imetoa taarifa zaidi kwa nini aliangukia maeneo ya mpakani na HAMASI hadi akatekwa?!! Hamaki na kulaani ni kwingi kwakua huyu Molel ameuawa na HAMAS ambao ni kikundi cha kiislamu huku Molel akiwa sehemu ya Israel (Taifa teule?) Ili hali mwanafunzi ambae aliuawa Ukraine akiwa na jeshi la Urusi watu hawakuahamaki kwa kua ilikua mauaji baina ya wakrsito kwa wakrsito?!!
Wizara ya mambo ya nje,imetoa tamko lolote la kuwataka Watanzia wanafunzi waliopo Israel kuondoka ama taarifa za kifo tu zinatosha?!!
Ikiwa Israel inalipa mamilioni ya hela kwa waafrika ili wakafanye kazi kwenye mashamba je haiwezi kulipa mamilioni ya hela watumikie jeshi?!!
NB- video ambayo anahojiwa baada ya kukamatwa ipo. Mtu anaweza kuitazama na kutafsiri mazungumzo yao kabla hajauawa,moja ya nukuu ya mtu alieiona.
View attachment 2847814
Linasambaa kwasababu ni mtanzania mwenzetu hao wengine sio watanzania .kila mtu analia msiba wa ndugu yake.hata wewe ukifa Tutalia sisi siyo hamas sawa nduguswali langu ni rahisi sana, waliouwawa kwenye mashambulizi ya Hamas ndani ya Israel ni wengi sana, kwanini hili la mtanzania ndio linaonekana kubwa na kusambaa mno?
Jomba mimi huwa sipigani, siezi tumia nguvu zangu na kupoteza muda wangu kupigana.Dogo nakuchukia. Yani tukikutana naweza kukupiga vibaya sana.
Wee subiri kwenye beto ndo mwenyewe. Ntakuchoma beto za maana.Jomba mimi huwa sipigani, siezi tumia nguvu zangu na kupoteza muda wangu kupigana.
Nakuchoma tu vidagger vya mapaja ukasikilizie mbele arif. Ukinichefua sana nakulima vidagger vya airbag nakutoa upepo.