Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Sawa.Nawafuatilia hawa wanaitoa comment hapa
Huyu wa font fend yuko bizy na gari lake bovu linaitwa Bashiteeee aka Malyangili yaan mla nguruwe pori.
Uhuru ameshampongeza mtu wake, sina uhakika hata kama mheshimiwa anajua kuwa leo simbu amekimbia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wewe hujui kwa Uhuru hiyo ni sehemu ya kampeni ?
Uhuru ameshampongeza mtu wake, sina uhakika hata kama mheshimiwa anajua kuwa leo simbu amekimbia!
Sent using Jamii Forums mobile app
mwiraqw wa manyara
ahaa hayaSio Muiraqw, ni Mnyaturu wa Ikungi, Singida.
Congratulations Simbu et al,Sasa hivi yuko nafasi ya tatu...tumuombee..
=====
View attachment 559495
View attachment 559501
At 40km point, with just over a mile to go, Kenya's Geoffrey Kirui leads in 2:01.36. Ethiopia's Tamirat Tola is 52 secs back in 2nd. Tanzania's Alphonce Simbu is 1.22 off the lead in bronze.
ndio kuna watanzania wawili...ila mimi mkenya...wako wakenya watatuTuna mwakilishi?