TANZIA Mtanzania auliwa kwa kupigwa risasi Marekani, anaitwa RODGERS KYARUZI, alipata maluweluwe

Kama kubeba box kumewashinda rudini mavumbini mkatwe Tozo na muwe makada wa ccm
 
Aliyeleta mada alileta ili mbishane juu ya ubaguzi wa nchi ya Marekani.

Wachangiaji wamekuja kutoa pole kwa mfiwa wengine wametoa ushauri kwa wanaotaka kwenda Marekani.

Mleta uzi, kwa kuona ajenda yake haijafanikiwa ameingia front mwenyewe. Just imagine ana links at the ready kwa ajili ya kuprove ubaguzi.

Anasahau kwamba Marekani ndiyo nchi pekee yenye nguvu kiuchumi imetoa rais mweusi. Na tunaona weusi wengine wameshika nafasi za juu za jeshini na wizarani.

Amekuepo hata mwakilishi mwenye asili ya Sudan au Egypt nafikiri, akawa anaingia jengoni na hijab.
 
Marehemu kaja Marekani mtoto kakulia Marekani, alikuwa anaijua Marekani kuliko alivyoijua Tanzania.

Kwa hivyo suala lako la seminar halihusiki.

Huyu hakuwa Mtanzania aliyekuja Marekani ukubwani.
Watu wamekariri.
 
Umejuaje hatutaki ushauri wake?
Sijasema hawautaki, nimesema hawauhitaji. Kuna tofauti.

Watanzania wanaokuja Marekani ukubwani for the most part wana adabu sana hata kuvuka barabara za Marekani, achilia mbali kugombana na Polisi.

Watanzania wanaheshimu sana Polisi hata nyumbani, sasa ndiyo waanze kugombana na Polisi ugenini?

Watu wengi sana wanapenda kutoa ushauri wasioombwa, kwa watu wasiowajua, bila hata wenyewe kuelewa wanachoshauri.
 
Discrimination ipo sana USA kwenye mighahawa ikiwa wewe sio mzungu Kuna sehemu ukienda unaweza ambiwa all table has been reserved yaani inauma sana kisa wewe ni black, coloured au Asian #Americawillfall
 
Ni nini kimetokea?
Dogo alikuwa mtu wa makata sana, kashinda mashindano kadhaa ya mieleka.

Watu wa restaurant wanasema alikuwa ana harass watu nje ya restaurant. Akasimamishwa na huyo off duty cop asiingie ndani ya restaurant.

Akamkunja jamaa off duty cop, kambana vibaya chini, off duty cop kampiga risasi.

Awali alionekana nje ya mgahawa akiwasihi watu jambo fulani mpaka akiwapigia magoti. Watu wengine wameita hilo kuwa alikuwa anawasumbua watu.

Familia inasema hii si kawaida kwa kuwa jamaa alikuwa mtu poa na hakuwa akitumia madawa ya kulevya.

Watu wanasubiri uchunguzi wa autopsy kuona mwili wake ulikuwa na nini.

Kwa habari zaidi na video angalia link hapa chini.

 
Watu wa hotel huwa wanatuchokoza wenyewe unakuta mtu umekunywa chai na chapati bili inakuja 900 ukimpa buku akurudishie chenji yako anasema mia hana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
358 wameuwawa ila 17 ni black waliobaki ni race nyingine. Labda kwenye kwenye rate kuongezeka.
 
Nailed it!
 
Nimeelewa, swali langu huyo aliyemuua alikuwa mweupe au mweusi mwenzake? Maana tunasoma kwenye mitandao mauaji ya weusi kwa kuuliwa na polisi yalishamiri hivi karibuni huko USA. Au hujayasikia wewe?
Acheni ujuaji kwenye nchi za watu , hzo ni nchi za watu , unapokuwa huko jitahidi uwe mpole umalize issue zako urudi nyumbani kwenye nchi uliyozaliwa , Kule ambako utaheshimika , nguo ya kuazima haisitiri matako.... Unaweza jiuliza ni wazungu wangap wakija huku wanaleta rabsha hata mgahawani , majamaa yanakuwaga na nidhamu ya Hali ya juu Sana , na wanaogopa any kind of violence , shida ni Sisi ngozi ya Ngudu.....tunajifanya kuijua haki kuliko haki yenyewe tena kwenye nchi za watu
 
nidhamu ya uoga ni kubwa sana kwa wabongo kuhusu police
 
Kafia Atlanta, me nawew wap kifo kitatukuta, isije kua Shitobholamakono Machimbon🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…