Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kama kubeba box kumewashinda rudini mavumbini mkatwe Tozo na muwe makada wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamekariri.Marehemu kaja Marekani mtoto kakulia Marekani, alikuwa anaijua Marekani kuliko alivyoijua Tanzania.
Kwa hivyo suala lako la seminar halihusiki.
Huyu hakuwa Mtanzania aliyekuja Marekani ukubwani.
So wanauliwa kwa dhamira au wakati wanakataa kukamatwaKwa hiyo hawa (naweka link chini hapo) wanao-tuaminisha watu weusi kuuliwa huko na polisi kiubaguzi ni waongo tu?
![]()
George Floyd: Timeline of black deaths and protests
A look back at the deaths of black Americans since the emergence of Black Lives Matter.www.bbc.com
Sijasema hawautaki, nimesema hawauhitaji. Kuna tofauti.Umejuaje hatutaki ushauri wake?
Yes. Jana nilikuwa naongea na mtu wa familia yake.Okay, ulikuwa unamfahamu personally?
Ni nini kimetokea?The guy was a millionaire in US dollars so kuombaomba si kweli.
RIP Kyaruzi.
Okay poa.Yes. Jana nilikuwa naongea na mtu wa familia yake.
Pole nduguYes. Jana nilikuwa naongea na mtu wa familia yake.
Poleni sana wafiwa, Poleni sana Watanzania popote mlipo, Poleni sana Tanzania Diaspora wa USA. sote tunyayue sauti kulaani kitendo hiki.
USA wanajulikana kwa ubaguzi wao kwa watu weusi, huyu Mtanzania mwenzetu na yeye yamemkumba? Au kauliwa na mweusi mwenzake?
The Georgia Bureau of Investigation has identified a man who was shot and killed Wednesday afternoon after struggling for an Atlanta police officer's gun at a restaurant in Buckhead.
The shooting happened around 2:45 p.m. at the Lenox Village business complex, located in the 2700 block of Lenox Road.
Soma zaidi: https://www.fox5atlanta.com/news/gb...over-atlanta-officers-gun-buckhead-restaurant
Habari inajieleza yenyewe lakini haijakamilika kwa kina, sema mtangazaji anaongea Kiswahili kibovu, hana sauti yenye haiba ya utangazaji. Mwenye maelezo zaidi atie nyama.
Poleni tena wafiwa
Dogo alikuwa mtu wa makata sana, kashinda mashindano kadhaa ya mieleka.Ni nini kimetokea?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wa hotel huwa wanatuchokoza wenyewe unakuta mtu umekunywa chai na chapati bili inakuja 900 ukimpa buku akurudishie chenji yako anasema mia hana
358 wameuwawa ila 17 ni black waliobaki ni race nyingine. Labda kwenye kwenye rate kuongezeka.Nalazimisha wakati upo kweli? Takwimu hazidanganyi. Soma hii...
People shot to death by U.S. police 2017-2022, by race
Published by Statista Research Department, May 9, 2022
Sadly, the trend of fatal police shootings in the United States seems to only be increasing, with a total 358 civilians having been shot, 17 of whom were Black, as of May 2022. In 2021, there were 1,055 fatal police shootings, and in 2020 there were 1,021 fatal shootings. Additionally, the rate of fatal police shootings among Black Americans was much higher than that for any other ethnicity, standing at 38 fatal shootings per million of the population as of May 2022.
Nikisoma ndio itaondoa ukweli kuwa wewe ni Mdini?
ShughuranPoleni wafiwa.
Nailed it!Aliyeleta mada alileta ili mbishane juu ya ubaguzi wa nchi ya Marekani.
Wachangiaji wamekuja kutoa pole kwa mfiwa wengine wametoa ushauri kwa wanaotaka kwenda Marekani.
Mleta uzi, kwa kuona ajenda yake haijafanikiwa ameingia front mwenyewe. Just imagine ana links at the ready kwa ajili ya kuprove ubaguzi.
Anasahau kwamba Marekani ndiyo nchi pekee yenye nguvu kiuchumi imetoa rais mweusi. Na tunaona weusi wengine wameshika nafasi za juu za jeshini na wizarani.
Amekuepo hata mwakilishi mwenye asili ya Sudan au Egypt nafikiri, akawa anaingia jengoni na hijab.
Acheni ujuaji kwenye nchi za watu , hzo ni nchi za watu , unapokuwa huko jitahidi uwe mpole umalize issue zako urudi nyumbani kwenye nchi uliyozaliwa , Kule ambako utaheshimika , nguo ya kuazima haisitiri matako.... Unaweza jiuliza ni wazungu wangap wakija huku wanaleta rabsha hata mgahawani , majamaa yanakuwaga na nidhamu ya Hali ya juu Sana , na wanaogopa any kind of violence , shida ni Sisi ngozi ya Ngudu.....tunajifanya kuijua haki kuliko haki yenyewe tena kwenye nchi za watuNimeelewa, swali langu huyo aliyemuua alikuwa mweupe au mweusi mwenzake? Maana tunasoma kwenye mitandao mauaji ya weusi kwa kuuliwa na polisi yalishamiri hivi karibuni huko USA. Au hujayasikia wewe?
nidhamu ya uoga ni kubwa sana kwa wabongo kuhusu policeSijasema hawautaki, nimesema hawauhitaji. Kuna tofauti.
Watanzania wanaokuja Marekani ukubwani for the most part wana adabu sana hata kuvuka barabara za Marekani, achilia mbali kugombana na Polisi.
Watanzania wanaheshimu sana Polisi hata nyumbani, sasa ndiyo waanze kugombana na Polisi ugenini?
Watu wengi sana wanapenda kutoa ushauri wasioombwa, kwa watu wasiowajua, bila hata wenyewe kuelewa wanachoshauri.