Aisee inamantiki hii. Kubanda kalazwa na hivi ndio mtanzania ilivyo sasa.
Pia hili swala la CCM na wasaliti kumshabikia Zitto bado nalitafakar lina maana gana. Na mbona Zitto anaonekana kukubali tu promo ya CCM ambayo kimsingi inaleta mgawanyiko chaman..????mnafiki akikusifia kinafiki si unatakiwa kumlipua?
Sasa sijui nani tumwamini.
If Zitto was telling the truth, does that mean Ben Saanane was lying alipokuja na statement hii,
and if ben was telling the truth about him meeting zito,does that mean juliana is telling the truth?Sasa sijui nani tumwamini.
If Zitto was telling the truth, does that mean Ben Saanane was lying alipokuja na statement hii,
- Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 58m
Siwezi kukaa kimya nionapo uwongo unasemwa hata kama uwongo huo ulilenga, labda kunisaidia. UWONGO ni UWONGO tu.
Expand
- Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 59m
Pia sijawahi kufika na wala siijui Hotel ya Lunch Time Mabibo. Ninaomba Mtanzania wathibitishe na vyanzo vyao habari hiyo
Expand
- Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 1h
Mtanzania leo imeandika habari 'Siri ya kuuwawa Zitto yafichuka'. Habari hii sio ya kweli. Sijawahi kukutana na Ben Saanane hata siku moja
Mfuate Twitter ukamwambie hayo....yeye kasema hivi.....Chadema ni genge la mafia; ukipishana nao kimtazamo wanakumaliza; ZITO chunga sana; yasije yakatokea ya Chacha Wangwe
- Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 58m
Siwezi kukaa kimya nionapo uwongo unasemwa hata kama uwongo huo ulilenga, labda kunisaidia. UWONGO ni UWONGO tu.
Expand
- Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 59m
Pia sijawahi kufika na wala siijui Hotel ya Lunch Time Mabibo. Ninaomba Mtanzania wathibitishe na vyanzo vyao habari hiyo
Expand
- Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe 1h
Mtanzania leo imeandika habari 'Siri ya kuuwawa Zitto yafichuka'. Habari hii sio ya kweli. Sijawahi kukutana na Ben Saanane hata siku moja
Dots Dots, Absolutelyand if ben was telling the truth about him meeting zito,does that mean juliana is telling the truth?
Zitto amejitokeza kwenye twitter na kujibu uongo huo.Sasa sijui nani tumwamini.
If Zitto was telling the truth, does that mean Ben Saanane was lying alipokuja na statement hii,
Ng´wamapalala uwe mwangalifu, Mwampamba na Shonza na uongo wao mnaoushabikia utaichafua CCM!Dots Dots, Absolutely
Mkuu, MaCCM bana, kila yakimbana Bashe issue ya Uraia wake, anachanganyikiwa, Mtanzania lilishupalia san aissue ya Kibanda, wakamuomba athibitishe uraia wake. kaacha kuandika tena issue za KibandaHuu upuuzi na ujinga wa kina Shonza (shenzi) na Mtela (Stella) walishautoa kule facebook na ukakosa mashiko naona gazeti la Rostam chini ya kijana wake mwaminifu Hussein Bashe wanaanzisha upya kwa kutaka kuhadaa umma ambao hawana access ya mitandao hii na uwezo wao mdogo wa kuchambua wanaweza shabikia huu ujinga wao.
Chadema ni genge la mafia; ukipishana nao kimtazamo wanakumaliza; ZITO chunga sana; yasije yakatokea ya Chacha Wangwe