Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa kwenye account yake dola za kimarekani (USD 200,000) ambazo ni zaidi ya Tsh 500,000,000/=. Ni pesa nyingi sana ambazo wakipewa CHADEMA zitafanya wasichangishane tena michango hovyo.

Kwenye mashindano hayo pia kulikuwa na mtanzania mwingine kwa jina la Emanuel Dinday ambaye kashika nafasi ya tatu kwa muda wa masaa 2:08:16. Yeye pia kajizolea USD 45000 ambazo ni zaidi ya Tsh 100,000,000/=. Hii hela ni nyingi ambapo kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= pale Kimboka hutaweza kuzimaliza.

Ninawasihi wazazi na walezi kuwekeza kwenye vipaji vya watoto wao maana wenye vipaji hulala maskini na kuamka matajiri kirahisi sana. Sio mbaya kuhakikisha watoto wanapiga One za 7 ila ukimsaidia kukuza kipaji chake kikakutana na ONE ya 7 inakuwa iko poa zaidi. Hawa kina Geay na Emanuel ni wadogo sana kiumri ila ni mamilionea. Pia tukumbuke haya yote yanatokea chini ya uongozi wa Dr Mama Samia Suluhu. Kiongozi bora kabisa duniani kwa wakati tuliopo.

Soma pia Mtanzania Geay avunja rekodi ya Daegu Marathon, South Korea
 
Na wote wanatoka kikiji kimoja cha MADUNGA manyara vijijini
 
mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08
22 February 2026
Seoul, South Korea

Daegu once again delivered fast times and elite competition in South Korea

View: https://m.youtube.com/watch?v=--zthidiulg
Mwanariadha nyota wa masafa marefu wa Tanzania, Gabriel Gerald Geay , alitoa onyesho la ubora wa hali ya juu na kushinda mbio za wanaume za Marathon ya Daegu, kwa kutumia muda wa dakika 2:08:08 katika mbio za kusisimua za mbio za kasi.

Gabriel Geay alivuka mstari wa kumalizia bega kwa bega na Chimdesa Debele Gudeta wa Ethiopia, wote wawili wakipewa sifa ya wakati mmoja.

Results - Daegu Marathon 2026​

View the results and leaderboard for the 2026 Daegu Marathon, a World Athletics Label road race gold.

TOP RESULTS MEN'S MARATHON

View: https://m.youtube.com/watch?v=NO2TltVmJtg
POS.NAMECOUNTRYTIME
1Gabriel Gerald GeayTanzania02:08:08
2Chimdesa Debele GudetaEthiopia02:08:08
3Emmanuel Daoudi DindayTanzania02:08:16
4Samsom Amare HailemikaelEritrea02:08:38
5Gerba Beata DibabaEthiopia02:10:02
6Stanley Kiprotic BetKenya02:10:31
7Gosa Ambelu ChalaEthiopia02:10:55
8Degenere Megersa MoretaEthiopia02:11:07
9Charles Kiprotich RonoKenya02:11:37
10Leonard ChemonguesUganda02:14:29
 
mtanzania mwingine kwa jina la Emanuel Dinday ambaye kashika nafasi ya tatu kwa muda wa masaa 2:08:16.
Picha maktaba :

Diddy-1000x600.jpg

Tanzania’s Emanuel Dinday wins the 2025 Hyundai Half Marathon on his debut. Photo: Maratona Clube de Portuga
 
Labda 250 maana kuna wadau hapo lazima wale. Sema bado ana malipo ya appearance fees, pesa za sponsor na huenda mkataba wake na Adidas ukaboreshwa zaidi. Huu ushindi utampa hela nyingi za pembeni.
lazima nanyie mpitishiwe kwenye matawi yenu ya wanachama.
 
Back
Top Bottom