Mtanzania Gabriel Geay ajizolea zaidi ya shilingi Milioni 500 kwa kutwaa medali ya dhahabu Daegu Marathon, South Korea

Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa kwenye account yake dola za kimarekani (USD 200,000) ambazo ni zaidi ya Tsh 500,000,000/=. Ni pesa nyingi sana ambazo wakipewa CHADEMA zitafanya wasichangishane tena michango hovyo.

Kwenye mashindano hayo pia kulikuwa na mtanzania mwingine kwa jina la Emanuel Dinday ambaye kashika nafasi ya tatu kwa muda wa masaa 2:08:16. Yeye pia kajizolea USD 45000 ambazo ni zaidi ya Tsh 100,000,000/=. Hii hela ni nyingi ambapo kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= pale Kimboka hutaweza kuzimaliza.

Ninawasihi wazazi na walezi kuwekeza kwenye vipaji vya watoto wao maana wenye vipaji hulala maskini na kuamka matajiri kirahisi sana. Sio mbaya kuhakikisha watoto wanapiga One za 7 ila ukimsaidia kukuza kipaji chake kikakutana na ONE ya 7 inakuwa iko poa zaidi. Hawa kina Geay na Emanuel ni wadogo sana kiumri ila ni mamilionea. Pia tukumbuke haya yote yanatokea chini ya uongozi wa Dr Mama Samia Suluhu. Kiongozi bora kabisa duniani kwa wakati tuliopo.

Soma pia Mtanzania Geay avunja rekodi ya Daegu Marathon, South Korea
Umeanza vizuri ila mwishoni umeboronga.
 
22 February 2026
Seoul, South Korea

Daegu once again delivered fast times and elite competition in South Korea

View: https://m.youtube.com/watch?v=--zthidiulg
Mwanariadha nyota wa masafa marefu wa Tanzania, Gabriel Gerald Geay , alitoa onyesho la ubora wa hali ya juu na kushinda mbio za wanaume za Marathon ya Daegu, kwa kutumia muda wa dakika 2:08:08 katika mbio za kusisimua za mbio za kasi.

Gabriel Geay alivuka mstari wa kumalizia bega kwa bega na Chimdesa Debele Gudeta wa Ethiopia, wote wawili wakipewa sifa ya wakati mmoja.

Results - Daegu Marathon 2026​

View the results and leaderboard for the 2026 Daegu Marathon, a World Athletics Label road race gold.

TOP RESULTS MEN'S MARATHON

View: https://m.youtube.com/watch?v=NO2TltVmJtg
POS.NAMECOUNTRYTIME
1Gabriel Gerald GeayTanzania02:08:08
2Chimdesa Debele GudetaEthiopia02:08:08
3Emmanuel Daoudi DindayTanzania02:08:16
4Samsom Amare HailemikaelEritrea02:08:38
5Gerba Beata DibabaEthiopia02:10:02
6Stanley Kiprotic BetKenya02:10:31
7Gosa Ambelu ChalaEthiopia02:10:55
8Degenere Megersa MoretaEthiopia02:11:07
9Charles Kiprotich RonoKenya02:11:37
10Leonard ChemonguesUganda02:14:29

HUYU KAAGA
NAJUA MACHUMVI YA MAWE MDALASINI KARAFUUY KAOGEA SANA
JICHANGANYE UONE UJAFIA HUKOOLEO KUNA WAMAREKANI WAMEZIKA BINTI MZURI BALAA AKIFANYA MAZOEZI YA KUJIUNGA NA JESHI KTK KUKIMBIA AKADONDOKA IKAISHA HIOO WOII
 
Congs kamanda Mungu akuongoxe Katie sadaka kwa yatima wajane kiasi Allah akutangulie..sijajua akuna migao waliomsindikiza mmh
 
Akija Bongo anakatwa Kodi anabakiwa na mambupu tuu
 
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa kwenye account yake dola za kimarekani (USD 200,000) ambazo ni zaidi ya Tsh 500,000,000/=. Ni pesa nyingi sana ambazo wakipewa CHADEMA zitafanya wasichangishane tena michango hovyo.

Kwenye mashindano hayo pia kulikuwa na mtanzania mwingine kwa jina la Emanuel Dinday ambaye kashika nafasi ya tatu kwa muda wa masaa 2:08:16. Yeye pia kajizolea USD 45000 ambazo ni zaidi ya Tsh 100,000,000/=. Hii hela ni nyingi ambapo kwa bei elekezi ya Tsh 3000/= pale Kimboka hutaweza kuzimaliza.

Ninawasihi wazazi na walezi kuwekeza kwenye vipaji vya watoto wao maana wenye vipaji hulala maskini na kuamka matajiri kirahisi sana. Sio mbaya kuhakikisha watoto wanapiga One za 7 ila ukimsaidia kukuza kipaji chake kikakutana na ONE ya 7 inakuwa iko poa zaidi. Hawa kina Geay na Emanuel ni wadogo sana kiumri ila ni mamilionea. Pia tukumbuke haya yote yanatokea chini ya uongozi wa Dr Mama Samia Suluhu. Kiongozi bora kabisa duniani kwa wakati tuliopo.

Soma pia Mtanzania Geay avunja rekodi ya Daegu Marathon, South Korea
KILA MTOTO AKIZALIWA ANAUNGANISHWA KWENYE MTANDAO WA KIMASHETANI WA SIMBA NA YANGA. KATOTO HAKAJIELEWI YAYARI KAMEVALISHA NGUO HIZO ZA KI JINI NYEKUNDU AU KIJANI. AKIKUWA KIPAJI KINAPOTEA KWA KUWA ALIAMINISHWA TANGU MDOGO KUWA MCHEZO PEKEE TANZANIA NDIO HUO UFIRAUNI WA SOKA AMBAO TUNAULAZIMISHIA LAKINI SIO VIPAJI VYETU AMBAO NAAMINI UMADKINI WETU, KUCHEKWA NA WA KENYA KWA KUTOBKUJUA KIINGEREZA HILI LI LAANA KUM LIITWALO SOKA LINAHUSIKA KWA 100%
 
Simba na Yanga ni kikwazo. Serikali ingewekeza kwenye riadha tungepata mamilionea wengi. Hawa kina Geay wana hela ndefu sana kuzidi karibu wasanii wote wa bongo. Wana mikataba minono na Adidas.. yaani hizo hela za ushindi wakati mwingine huwa ndogo kuliko hayo marupurupu mengine.

Pia ninawasifu kwa uzalendo wao wa kuendelea kuwa watanzania. Wanariadha kwa sasa wanauza uraia wao na kuhamia nchi zingine. Kabla ya 2010 kuna mkenya alihamia Qatar kwa dau la dola milioni 1 huku akipewa benefits nyingine kibao. Mtu kama Geay akisema auze utanzania wake atachota noti ndefu sana.
 
Kwani Geay serikali imemsaidia, acha ujinga wa kila kitu serikali, you can do it
 
Ndugu matusi sio uungwana wala ustaarabu. Ungeweza kuchangia bila kuleta huo uk♡ma wako. Serikali ndo yenye uwezo wa kila namna kuanzia kifedha hadi ushawishi kuhakikisha jambo linafanikiwa ikiwemo michezo. Kule DRC muziki uko juu kwa sababu serikali zao kuanzia mkoloni hadi waliofuatia zilisapoti wanamuziki.
 
Back
Top Bottom