SadKuna binamu yangu naye ni binti alipiga six fresh kwa ufaulu mzuri pale msalato girls miaka ya 97, akakacha kwenda chuo, akaenda Marekani, alikaa huko zaidi ya miaka 10 hakuna mafanikio yoyote ukizingatia wenzake waliamua kupambana hapa Bongo wengi wapo kwenye position na maisha mazuri , so ndugu zake wameamuakumrudisha Bongo baada ya kupata Sonoma na kurun mental health, siku hizi anafungiwa tu ndani maskini, kumuona na urembo wake utasikitika sana.
Mie niko mbali na huyo dada, yeye ndie yuko karibu nae, aanze yeye huku akisubiri msaada kutoka kwangu.Kama ni rahisi hivyo, fanya ndio umeipata hii habari, unamsaidia vipi huyo dada maana mleta mada kashindwa kaishia tu "KUMCHORESHA"? Au na wewe msaada wako umeishia kwenye kufyonza?
Una msitiri kwani, ndipo unatafuta msaada kutoka kwa ndugu zake.Ukikutana na chizi unayemfaham utamkamata na kumpeleka nyumbani kwako ama utapigia simu ndugu zake unaowafaham uwaelekeze ndugu Yao alipo.
Mbona amefanya jambo jema tu my sister.
Yeye huyo aliyekaa nae hapo bustanini Texas kwann asimuhifadhi. Huku akisubiri msaada zaidi kwa ndugu husika? Au hujui nn namaanisha?guys stop these... anamchoresha aje hapo na ameona better way apate ndgu zake wamhelp, or hamjui mental issue zilivo?
Nilicho kiandika ni kwa wenye akili na uelewa tyuu, nyie vilazaa sio size yenu.Wee jinga kweli yani kitu gan hiki umeandika[emoji52][emoji52]
Kaka hatari sana 🤣 😂 🤣Village people village people ohohoo wasikunase ktk rada zao utajua ujui
She is beautifulInasikitisha sana ,hapo kuna mambo kama matatu nahisi:-
1. Sonona ,Msongo wa mawazo, frustration zimemvuruga na kumsababishia mental health.
2. Inawezekana watu wamempiga kitu(Uswahili) maana naona ni PC ya kwenda.
3. Either ametoswa na Mupenzi au Rafiki aliyemleta huko ikapelekea kumvuruga akili.
Watanzania wachawi sana, ingekuwa ni Mkenya wangemstiri mwenzao.Akaita tu police akapelekwa kwa nguvu
Nashangaaa na huko texas watz ni wengi sana
Zile sio balozi ni Matawi ya CCM au baby sitter kwa ajili ya watoto wa vigogoBalozi zetu hazina msaada zimejaza watu wasiojitambua
Jamani mbona mie nilicho kiandika, kipo wazi kabisaa, au kusema ukweli ni kosa?Nadhani fikiria tena. Anaaribu kutoa msaada wake ingawa inawezekana njia anayotumia si sahihi.
Mimi naona mtoa mada yupo sahihi, angeanzisha mada bila picha au video ungedai picha na hata video. Amefanya hivyo ili ndugu, rafiki, jamaa, majirani na waliosoma pamoja wamtambue ili msaada uwe rahisi kupatikana.Unatakiwa kuelewa mipaka yako na kuheshimu privacy ya mtu.
Kwanza umeenda kumrekodi bila ya ridhaa yake, unalazimisha kumpa msaada wa hela ambao auhitaji; halafu unamposti mitandaoni huo ni udhalilishaji.
Pili unalazimisha msaada kwa mtu ambae ajakuomba na hataki hiyo ni kuingilia rights zake. Dada anaonekana ni mzima maana unakiri umewahi kuongea nae na hata hapo kwenye video inaonekana anajielewa huo uchizi unampa wewe.
Tatu hujui changamoto zake za maisha hadi kua homeless, ungeanzia kudadisi hapo kimetokea nini kwenye maisha yake hadi kufikia alipofika.
Nne kama lengo ni kutaka ndugu zake wapate habari ungeweza anzisha mada kwa title yoyote na ku-crop sura yake tu na kuomba msaada kama kuna mtu anamfahamu huyo dada wakupe details za ndugu zake uwape taarifa, wao ndio wana mamlaka ya kwenda serikalini na kuomba msaada arudishwe.
Umemkosea sana huyo dada na kumdhalilisha.
Wee Ni mjinga San unawaza ushiga tuMie niko mbali na huyo dada, yeye ndie yuko karibu nae, aanze yeye huku akisubiri msaada kutoka kwangu.
Sasa ushoga hapa unahusu nn? Umevurugwa na ushoga eeeh?Nasimama na mtoa mada, hao wengine waliopinga kisa sijui human right and privecy sijui nini hawa ndiyo aina ya watu wanaondekeza issue za ushoga ni wapiga kelele tu.
Watanzania hatuna dogo, hata sehemu za kazi tunazofanya watu wanamambo ya ajabu sana. Ugonjwa wa akili upo watu wengi sana hii nchiAkicrop ndugu zake watamjuaje?
Mbn una imani za kishirikina ww jamaa.Masikini dada wa watu isije kuwa watu wa kijijini kwao wamemroga.
Mungu amfanyie wepesi.
Hujakosea bebiJamani mbona mie nilicho kiandika, kipo wazi kabisaa, au kusema ukweli ni kosa?