Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN, Rais Samia ampongeza

..nafasi za kazi za UN huwa zinatangazwa ktk website yao.

..ziko wazi kwa mtu yeyote mwenye sifa toka nchi wanachama kupeleka maombi.

..jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba Watz tunajinoa ili kuwa na sifa, na kuchangamkia kutuma maombi pale nafasi zinapojitokeza.
 
.jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba Watz tunajinoa ili kuwa na sifa, na kuchangamkia kutuma maombi pale nafasi zinapojitokeza.
Let us not be naive, kweli kuwa na sifa ni lazima sana lakini sio SUFFICIENT!!! Kuna nchi nyingine ni more represented kwenye U.N. system; sidhani kama wao wana watu more qualified kuliko wa kutoka nchi nyingine!!! Wenye uzoefu na system hiyo wanaelewa nazungumzia nini.
Hata kwenye East African Community ilikuwa hivyo hivyo kabla ya sisi kuzinduka!!!
 
Mkuu JokaKuu, hivi unaweza kunisaidia kwanini JPM alikataa kuwa endorse Mulamula na Likwelile kwenye senior positions huko kwenye jumuiya za kimataifa ilhali ilikuwa ni kwa manufaa ya nchi?
 
Mkuu JokaKuu, hivi unaweza kunisaidia kwanini JPM alikataa kuwa endorse Mulamula na Likwelile kwenye senior positions huko kwenye jumuiya za kimataifa ilhali ilikuwa ni kwa manufaa ya nchi?

..Mhh.

..sijui kwanini alikataa kuwa-endorse.
 
Aisee, wewe jamaa unataka mzee wa kusifia afe njaa si bure. Jamaa hiyo ndiyo kazi inayomuweka mjini.
 
Hongera Bi Mkubwa,
 
Enzi za mfuga ng'ombe Tanzania ilionekana takataka
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…