..nafasi za kazi za UN huwa zinatangazwa ktk website yao.Membe uteuzi wake ungetegemea kuwa kisiasa zaidi ; huyu mama Msuya uteuzi wake sio wa kisiasa na sio mwanasiasa ni mtendaji!!! Hata hivyo she will be well advised kujitahidi kuwapa nafasi watanzania wenzie pale nafasi zinapojitokeza; asije akawa kama AshaRose Migiro alipokuwa huko ambapo hakufanya jitihada zozote za kuwapatia nafasi Watanzania kama wafanyavyo mataifa mengine!!! Hongera zako mama.
..ziko wazi kwa mtu yeyote mwenye sifa toka nchi wanachama kupeleka maombi.
..jambo la msingi ni kuhakikisha kwamba Watz tunajinoa ili kuwa na sifa, na kuchangamkia kutuma maombi pale nafasi zinapojitokeza.